Recent content by Siku za ajabu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Yule mzee alisaidia sana kukausha biashara ya unga sasa wenyewe wamekasirika yani watu wote walioziba njia zao chafu adhabu ni kifo ila Mungupia yupo
  2. S

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kumzika mwanangu

    Mzee kanisa la Yesu linakuita nenda kanisani kama uko dar eagt city center kwa pastor katunzi ni sehem sahihi sana kusali....
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nimejikuta ni mtu wa mawazo sana na bado ni kijana mdogo

    Nenda kanisani kama uko dar sehem sahihi sana kwa pastor katunzi eagt city center mbagala huko mtafute aisee utapona vzur sana... trust me
  4. S

    JamiiForums Tanzania Simba karatasi aliyesumbua Sana Mtwara vijijini

    Daahh miaka ya 90 hv nilikuwa huko yani hii ndio ilikuwa habar tata sana ila wakaz wa mtwara huko muache kuwanga uchawi sana huko
  5. S

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Paula billionaire mindset cha daniel strauss nakitafta sana please if u caj help me i will appreciate...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

    Mwarabu yupo kama kivuli tu kuna mzee wa mjini ndio yuko hapo kila sehem yupo anapanga vivuli vyake tu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nani ana taarifa ya Loliondo? Nasikia zimeanza kuchapwa

    Bwana weee wenye nchi wako kazini wanarudisha vya kwao yulr Bwana ana rohi mbayasana
  8. S

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Kuna mtu mmoja tu akipotea hii nchi itaanza kuhema vzur
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nimemfuma kaka yangu anaabudu mizimu

    Mwambie mama ba mdingi fasta atawaua huyo shetani mbaya kamuingia..
  10. S

    JamiiForums Tanzania Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

    Daah kuna watu wanaroho ngumusana ktk nchi yetu kinachofanya watalii waje ni hao wanyama leo unawabeba kuwauza Mwenyezi Mungu ingilia kati nchi hii inaenda zake....
  11. S

    JamiiForums Tanzania Napata wapi kitabu hiki?

    Mimi nahtaji soft copya ya Billionaire mindset cha daniel strauss.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Bado natafta billionaire mindset cha daniel strauss
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

    Hao unaowasema hawakwenda mahakamani ukienda mahakamani inabd usubiri
  14. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Uwekezaji "Miaka 5 iliyopita Kwenye Uwekezaji tulirudi nyuma Sana"

    Acheni kuropoka kaweza wapi kila mtu analalamikabhali mbaya acheni ujinga
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mbowe atoa ya moyoni kuhusu Halima Mdee

    Eti nitatafuta kazi ulipwe usd 15,ooommh labda kama kwenye kampuni yake
Back
Top Bottom