Mapenzi hayana komandoo hata Adolph Hitler Kwa demu wake alikuwa anapiga magoti...na Huyu huweze jua labda limbwata alizidisha[emoji30] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeye sio fisadi na CUF ipi ya kupambana na ufisadi? Waliomtuma arudi akawambie watanzania wa sasa sio wale wa jana tunajua nyeusi na nyeupe ni IPI asitudanganye hatudanganyiki
Nazani hata wee na huyo aliesema hamfikiri,HV kama mvua haijanyesha kwa kipindi kirefu...halafu inanyesha kwa kuchekewa hata kwa siku moja kijani hakiweze kuja! Isue IPO kwamba mvua zimechelewa na zimenyesha kidogo...sasa we ngangania kijani ili mazao yalishanyauka
Acheni kumsingizia Mungu na mifano isiyondana,MTU amejitwalia madaraka halafu useme madaraka yake yametoka kwa Mungu![emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.