Recent content by sihofu

  1. S

    Zijue 10 bora za mashirika ya Ki'Inteligensia yenye nguvu Duniani.

    Pengine tz ndo inafuatia baada ya chad,hata katika vyombo vyetu vya intelligence wanaajiri watoto wao ndo maana hamna siri siku hizi,habari tunazipata kila leo hata zile ambazo ilibidi zifichwe kwa ajiri ya usalama wa taifa letu liliwalwo na wezi wachache
  2. S

    Sugu moto chiniii!!!

    Tunatambua kwamba chama cha mafisadi kime capitalise on fools and illiterates sidhani kama wewe una fall under that category,wake brother and emanciapate yourself from the tentacles of this tyrany
  3. S

    Sugu moto chiniii!!!

    Well I do respect other peoples opinion,but on this particular case I think you are holding personal vendetta not just against sugu but against opposition parties!!so keep those godamn opinions to yourself or else go to hell
  4. S

    tarehe 11 mwezi wa 11 mwaka 2011

    Wengi wetu hatutaishi kushuhudia siku,tarehe na mwaka vilivyo match namna hii
  5. S

    Jiuzulu Ngeleja kazi imekushinda, acha usanii!

    Kwisha kwa mgao wa umeme kabisa imekua ni ahadi za kisiasa ambazo wamekua wakitoa kila siku bila kuzikamilisha,its high time administration upheaval ili taifa hili lisonge mbele
  6. S

    Watangazaji wa clouds na ushabiki wazi kwa CCM

    Imekua ni "common experience" kwa watangazaji wa clouds fm kuonyesha waziwazi ushabiki wa kisiasa kwa kuwakashifu viongozi,sera,misimamo na hoja ya vyama pinzani bila kujali kuwa kituo chao cha redio kinasikilizwa na watanzania wa itikadi tofauti ya vyama,sina hakika kama wasimamizi wao...
Back
Top Bottom