Zijue 10 bora za mashirika ya Ki'Inteligensia yenye nguvu Duniani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zijue 10 bora za mashirika ya Ki'Inteligensia yenye nguvu Duniani.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndibalema, Nov 13, 2011.

 1. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160

  10. ASIS – Australia[​IMG]
  [TABLE="width: 0"]
  [TR]
  FORMED[TD="bgcolor: initial"]13 May 1952[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  HEADQUARTERS[TD="bgcolor: initial"]Canberra, Australian Capital Territory, Australia[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  ANNUAL BUDGET[TD="bgcolor: initial"]$162.5m AUD (2007)[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  MINISTER RESPONSIBLE[TD="bgcolor: initial"]The Hon. Stephen Smith MP, Minister for Foreign Affairs[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  AGENCY EXECUTIVE[TD="bgcolor: initial"]Nick Warner, Director-General[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  A
  [h=2]9. RAW – India[/h]
  [​IMG]
  [TABLE="width: 0"]
  [TR]
  FORMED[TD="bgcolor: initial"]21 September 1968[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  HEADQUARTERS[TD="bgcolor: initial"]New Delhi, India[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  AGENCY EXECUTIVE[TD="bgcolor: initial"]K. C. Verma, Secretary (R)[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  PARENT AGENCY[TD="bgcolor: initial"]Prime Minister’s Office, GoI[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  8. DGSE – France
  [​IMG]
  [TABLE="width: 0"]
  [TR]
  FORMED[TD="bgcolor: initial"]April 2, 1982[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  PRECEDING AGENCY[TD="bgcolor: initial"]External Documentation and Counter-Espionage Service[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="width: 0"]
  [TR]
  MINISTER RESPONSIBLE[TD="bgcolor: initial"]Hervé Morin, Minister of Defence[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  AGENCY EXECUTIVE[TD="bgcolor: initial"]Erard Corbin de Mangoux, Director[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  7. FSB – Russia[​IMG]
  [TABLE="width: 0"]
  [TR]
  FORMED[TD="bgcolor: initial"]3 April, 1995[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  EMPLOYEES[TD="bgcolor: initial"]350,000[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  HEADQUARTERS[TD="bgcolor: initial"]Lubyanka Square[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  PRECEDING AGENCY[TD="bgcolor: initial"]KGB[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [h=2]6. BND – Germany[/h]
  [​IMG]
  [TABLE="width: 312"]
  [TR]
  FORMED[TD="bgcolor: initial"]1 April 1956[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  EMPLOYEES[TD="bgcolor: initial"]6,050[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  AGENCY EXECUTIVE[TD="bgcolor: initial"]Gehlen Organization[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  PARENT AGENCY[TD="bgcolor: initial"]Central Intelligence Group[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [HR][/HR]
  [h=2]5. MSS – China[/h]
  [​IMG]
  [TABLE="width: 0"]
  [TR]
  JURISDICTION[TD="bgcolor: initial"]People’s Republic of China[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  HEADQUARTERS[TD="bgcolor: initial"]Beijing[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  AGENCY EXECUTIVE[TD="bgcolor: initial"]Geng Huichang, Minister of State Security[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  PARENT AGENCY[TD="bgcolor: initial"]State Council[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [h=2]4. CIA – America[/h]
  [​IMG]
  [TABLE="width: 0"]
  [TR]
  FORMED[TD="bgcolor: initial"]September 18, 1947[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  EMPLOYEES[TD="bgcolor: initial"]20,000[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  AGENCY EXECUTIVE[TD="bgcolor: initial"]Leon Panetta, Director[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  PARENT AGENCY[TD="bgcolor: initial"]Central Intelligence Group[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [h=2]3. M1-6 – United Kingdom[/h]
  [​IMG]
  [TABLE="width: 0"]
  [TR]
  FORMED[TD="bgcolor: initial"]1909 as the Secret Service Bureau[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  JURISDICTION[TD="bgcolor: initial"]Government of the United Kingdom[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  HEADQUARTERS[TD="bgcolor: initial"]Vauxhall Cross, London[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  MINISTER RESPONSIBLE[TD="bgcolor: initial"]The Rt Hon. William Hague MP, Foreign Secretary[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  AGENCY EXECUTIVE[TD="bgcolor: initial"]Sir John Sawers KCMG, Director General[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  PARENT AGENCY[TD="bgcolor: initial"]Foreign and Commonwealth Office[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [h=2]2. Mossad – Israel[/h]
  [​IMG]
  [TABLE="width: 0"]
  [TR]
  FORMED[TD="bgcolor: initial"]December 13, 1949 as the Central Institute for Coordination[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  EMPLOYEES[TD="bgcolor: initial"]1,200 (est)[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  AGENCY EXECUTIVE[TD="bgcolor: initial"]Meir Dagan, Director[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  PARENT AGENCY[TD="bgcolor: initial"]Office of the Prime Minister[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [h=2]1. ISI – Pakistan[/h]
  [​IMG]
  [TABLE="width: 0"]
  [TR]
  FORMED[TD="bgcolor: initial"]1948[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  JURISDICTION[TD="bgcolor: initial"]Government of Pakistan[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  HEADQUARTERS[TD="bgcolor: initial"]Islamabad, Pakistan[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  AGENCY EXECUTIVE[TD="bgcolor: initial"]Lieutenant General Ahmad Shuja Pasha, PA Director General[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  Na Shirika Dhaifu zaidi kuliko yote Duniani ni...
  [h=2]CHAD

  [​IMG][/h]
   
 2. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  tiss wa ngapi?
   
 3. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,076
  Likes Received: 7,566
  Trophy Points: 280
  Tiss ilitamba enzi za Nyerere katika Local Intelligence, sasa hivi hakuna kitu.
   
 4. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,974
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tiss ilikuwa zamani, sasa hivi ni genge la mafisadi na wauaji tu kama ccm.
   
 5. mambo

  mambo JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 2,377
  Likes Received: 5,013
  Trophy Points: 280
  duh inamaana mossad ni wa pili basi hao pakstani ni chiboko.tz oyeeeeeeeeeE
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Hawa tiss wamekuwa wanasiasa kupanga matokeo tu ndo maana kuna leaks kibao toka kwao. Labda watakuwa ndani ya TANO dhaifu!
   
 7. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,382
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi wanawatumikia bwana zao CCM wewe hujaona wanajeshi wa Congo juzi kati wametia nanga Kigoma wao hawana habari!
   
 8. S

  SIKUOGOPI Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ingia kwenye Mtandao wa Mashirika Bora kupitia CIA ya Marekani nawe utaona wanakupa Number Moja ni Mossad kutoka Israel na toka Imeanza dunia Hakuna aliyewahi Kuweza kufanikiwa kupata walau hata Chembe za Siri zao!

  Kwa Faida yako hawa jamaa ndio waliofanikiwa Mpaka sasa Kumkamata Saddam Hussen na Ossama Bin Laden Bila Kumsahau Carlos the Jackal. Pia usisahau Taifa la Marekani na ubabe wake wote wanawategemea Mossad na Hakuna sehemu yoyote ile Utasikia Marekani anasema nimepata Msaada toka kwao!

  Kumbuka pia ili uwe Kiongozi wa CIA ni lazima uwe na Asili ya Israel hivyo si kweli kwamba
  Hilo ulilosema ni Number One! Kisiasa sawa but kikawaida Hakuna Mpaka Leo anayeweza kuvunja Rekodi ya Mossad na nikukumbushe tu Mosasad ilianzishwa na Nabii Ibrahimu enzi za Agano la Kale!

  Mengi zaidi tembele Mitandao ya Kiisrael nawe utapata sifa na Mikakati yao! Hii si Upenzi bali peruuzi sana nawe utagundua! Maana hata Mfalme Daudi aliikuta na akatumia Mbinu za Shirika hili. Rais wa Misri Marehemu Gamar Abdul Nasir kama angekuwa Hai naamini angekueleza namna ambavyo Mossad walivyomfanya!

  Kwa ufupi Mossad si Shirika linalotaka Sifa sana kama CIA au KGB au SCOTLAND YARD namengine mengi kama hili la Vibaraka wa CCM hapa Nyumbani kwetu tanzania! Maana haoa kwetu kila Mtu anajua Fulani ni Usalama wa Taifa a.k.a kuwadi wa CCM na Mabingwa wa kuchakachua Kura za Urais!

  Ukitaka kujua wa kwetu ni Makuwadi fuatilia mikakati yao iko wazi siri zao zimekuwa si siri tena! Maana yake nini Himaya ya Mfalme ikitikisika ujue kinachofuata ni kuanguka! Sasa uliza kama wa kwetu wanasoma Alama za nyakati? Hapa kwetu ni mabingwa wa kuita Press na Kujibishana na Wanasiasa! Wewe uliona wapi Mossad au CIA au KGB au SCOTLAND YARD wanapoteza muda wa kujibishana na Wanasiasa! Zaidi ya kulinda usalama wa taifa lao kwanza!

  Mungu ibariki Tanzania!
  Mungu bariki Taasisi yetu ya Usalama wa Taifa!
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  TISS yani haipo hapo haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa basi mkuu iweke hata juu ya CHAD
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kanisa Katoliki.
   
 11. s

  sihofu Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pengine tz ndo inafuatia baada ya chad,hata katika vyombo vyetu vya intelligence wanaajiri watoto wao ndo maana hamna siri siku hizi,habari tunazipata kila leo hata zile ambazo ilibidi zifichwe kwa ajiri ya usalama wa taifa letu liliwalwo na wezi wachache

   
 12. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  NAKATAAA TAKWIMU ZAKO ZIMECHAKACHULIWA!!! Kwanza tu kwa kudhihirisha huo ni uongo, hao Wapakistan walishindwa kujua kama Osama Bin Laden anakaa pale jirani yao. Nachotaka nikwambie ni kwamba, sijui nani wa pili wala nani wa kumi ila #1 ni TISS.
  Vigezo:
  1. Ndio taasisi pekee ya usalama inayoweza kugundua endapo maandamano yataambatana na fujo.
  2. Ndio taasisi pekee ya usalama iliyoweza kuhakikisha serikali iliyopo madarakani inapata kura zaidi ya zillizopigwa
  3. Ndio taasisi pekee ya usalama inayowalipa vizuri watumishi wake kiasi wanaweza kujisifia mitaani kuwa wao NI
  4. Ndio taasisi pekee iliyoweza kuwalinda Simba na Yanga uwanja wa Taifa inspite of Al Shabaab threats

  Hizo za kwako ni za kutunga tu, waziri Nundu angekuona angekuuliza mapema tu "umetumwa na nani?"
   
 13. m

  mjaumbute Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TISS inafanya kazi yake vizuri sana ila kwa taarifa yako CCM nayo ina Intelejensia yake ,na hii ndiyo inayohusika na vitendo vyote viovu tunavyoviona vikiwemo vya kuchakachua matokeo ina nguvu kubwa kwani wengi wao walihamishiwa huko kutoka TISS baada ya kuanzishwa vyama vingi ili kuihami CCM ingawaje sasa naona nguvu yake imebaki mkiani.
   
 14. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG][​IMG]
   
 15. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 16. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
Loading...