Watangazaji wa clouds na ushabiki wazi kwa CCM

Watangazaji wa clouds na ushabiki wazi kwa CCM

sihofu

Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
6
Reaction score
0
Imekua ni "common experience" kwa watangazaji wa clouds fm kuonyesha waziwazi ushabiki wa kisiasa kwa kuwakashifu viongozi,sera,misimamo na hoja ya vyama pinzani bila kujali kuwa kituo chao cha redio kinasikilizwa na watanzania wa itikadi tofauti ya vyama,sina hakika kama wasimamizi wao wanasimamia kwa kuzingatia ethics za kazi au ndio tatizo la kuajiri watu kijanjajanja{people with no required profession}
 
kwani lazima watu wote wawe wapinzani? wewe kama unataka sikiliza hutaki achana nayo mbona idhaa za radio ziko nyingi tu!Nalog off
 
clouse radio haina graduated employee wana talented employee ndo maana hawajui ethics za kazi yao wanaropoka ndani ya station zao.
 
clouse radio haina graduated employee wana talented employee ndo maana hawajui ethics za kazi yao wanaropoka ndani ya station zao.
PJ ka graduate last week.Wanae mmoja tu
 
clouse radio haina graduated employee wana talented employee ndo maana hawajui ethics za kazi yao wanaropoka ndani ya station zao.
true,Adam Mchomvu hua anatukana kabisa.Kibonde analeta ushabiki wa kisiasa waziwazi,hovyo kabisa kama sir name yake ilivyo.
 
kama wanatukana, mamlaka husika hazioni hili? Upuuzi.
Upuuzi ni huo uliouandika wewe.Adam Mchomvu anasema KUTOA MBWA,then anasema tamka hilo neno haraka haraka unadhani anakua ana maanisha nini?
 
Back
Top Bottom