Sam Mahela si wakupongezwa ni kama ametumwa kuchochea. Unaripoti mabaya tu kuchochea sehemu zingine. Nakumbuka hapa Arusha ile Diaspora ya Marekani sikumbuki jina kuna mwanafunzi alimwuliza mwakilishi wa CNN kuwa kwa kuripoti matukio na dhiki za Afrika mnafaidika nini. Akamweleza kuwa kwa maoni...
Lowassa si dhahabu il a Watanzania has vijana mmekuwa mazezeta hamfikiri tens. Nilikuwa mpenzi Wa ukawa but not now ufisadi juu
Chadema walikuwa na SLOGANI 'SISI TUNA MUNGU HATUNA FEDHA. Leo ni sawa????
As ante mie namshangaa Masoud ni MTU mzima lakini mambo yanayofanyika kipindi hiki na mile cha sijui wanashinda HAKIKA TBC NI YA KIPUUZI SIWEZI KUANGALIA KIPINDI CHA KIJAMII HATA. Hivi ubunifu wamedhindwa je wangeanza kuonyesha kama Shamba shape up au my house au my tasty food ingekuwaje? Vijana...
Yaani chukua chako mapema wametuona watz wote ni mitaro ya maji taka ya manzese sawa lakini HAPANA INAWANGOJA KATIBA HAIWEZI KUSISIMAMIWA NA MWUAAJI FISADI NA ANAEVUNJA SHERIA NO NEVER!!!!!!!!!!
Jamani waache waanikwe wajue watu tunajua kuwa jana ilikuwa ujinga tu hivi hawaoni hakuna hata chombo kimeleta mwendelezo wowote au kurudiarudia habari!!!!!!!!!!!!!!!! CCM! CCM! CCM OHEYEEEEEEEEEEE:hail:
huna ubavu wa kumwambia kipenzi wa Watanzania wapenda ukweli Askofu Niwe Mugizi. Watanzania tutasema HAPANA KATIBA YA KIFISADI kwanaza mjitayarishe nchi kufilisika maana hela mlio kula itawatokea puani tuuuuuuu:A S 11:
Kanisa la Mitume la Katoliki lina utaratibu wake elewaaaa si hatujengi maaskofu BALI MUNGU ANATUTEULIWA SABABU HILI SI KANISA LA FULANI NI Kanisa Takatifu la Mitume ni la wote UNIVERSAL CHURCH. Askofu Niwe Mugizi leo anaweza kuteuliwa akaongo Uganda, Marekani, Vatican and so on..... si changanye...
Hivi amehubiri kipi cha vurugu kusema ati ataendesha kazi ya kupinga yale ambayo SISI WATANZANIA WENGI HATUAMINI AU?????????????? Najiuliza hivi mnasense kweli nani analeta vurugu kusema ukweli au USITISHE WATU NDIO MAANA TUNAJENGA USUGU EBU anagalia kule waalimu POLISI WALICHANA MABANGO...
NADHANI WEWE HUIJUI VATICAN NDIO MAANA UNAONA HAYO..................Nakukumbusha kidogo Marekani ni wababe sana lakini Rais wa Marekani anaomba sala toka kwa Baba Mtakatifu sasa leo unandika uupuzi huu ....pole sana Askofu Niwe Mugizi aluta continua.....................
Mbona mnajitia hamnazo sababu ya posho mlizopata na mtatuletea tutakula halafu KATIBA HAPANA. Tulipendekeza mawaziri wasiwe wabunge, mbunge awe na kikomo 2 terms na JAJI MKUU AFANYIWE USAILI KAMA KENYA na imeisaidia nchi hiyo SASA KWANINI NIPIGIE KURA KATIBA AMBAYO IMEKATAA MAONI YANGU LAKINI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.