Halima Mdee: 'Nimekula bata' rumande

Halima Mdee: 'Nimekula bata' rumande

Hayati Nelson Mandela alifungwa kwa miaka 27!!!!! Siku moja ya mahabusu si lolote. Go go go Halima Mdeee. After all hao maafande ni kwamba wanalazimishwa tu kutekeleza siasa, uraiani tuko pamoja na ndiyo maana 2010 vituo vyao vya kura waliipa CCM si zaidi ya kura 10. Lugalo jeshini ikiwa ni mfano nambari moja, kura zote zilipigwa CDM?
 
Kama ataomba kurudi tena Segerea kwa hiari ndo nitaamini kweli kuna bata.

Yule mwingine wa viti maalum somebody Sakaya wa CUF almanusra apimwe oil na maafande akiwa mahabusu huko mboka.

Sidhani kama atakaa asahau.
 
Hata Lema alisema hivyo hivyo kuna raha huwa wanaifuata huko wanaijua wenyewe tu
 
Ngoja nami nifanye fujo nikale bata Segerea. Nikifika tu kule nitakuwa napiga muziki na Babu Seya na kutunga nyimbo za kuikashifu serikali iliyopo madarakani kwa sasa.

Ukitoka kiuno kitakuwa laini kama cha Bob Junior
 
Halima Mdee rudi tena jela ukamalizie bata
 
hiv hamjui kama maeneo ya magereza wanafuga bata weng so nafikir walimchinjia wa kutosha akala......

nwei la msing nafikir alimaanisha huko alikutana na watu wenye shida na yeye zaid na akapata nafas ya kua nao kwa karibu...
Alionana na Babu Seya akamwomba amusaidie kwani amewekewa mizengwe kama yeye:A S wink:
 
kwani unapokuwa mpirani au unaposikiliza mtangazaji wa mpira anapokuambia kamvisha kanzu unaelewaje?kama unamuelewa mtangazaji vipi ushindwe kumuelewa Mdee? huko ni kujitoa ufahamu kama walivyo viongozi wa ccm
 
Hiyooo mibangeee mnayoovutaa ni stiimu zaaakulandukaaaaaaa.......................
 
Back
Top Bottom