Huku ndugu zetu wakiendelea kufariki na kupata hasara kutokana na vurugu za mtwara serikali pamoja na wanakijiji wakae chini na kuangalia tatizo hili siku zote vita na vurugu kati ya watu kwa watu zinaanza hivihivi siombei jambo lifikie huko lakini sisi sote ni watu wamoja kwanini ifike hatua ya...
Leo zanzibar ina azimisha mapinduzi ya ukombozi kutoka mikono ya watumwa. Je ni fundisho gani serikali hii imelipata katika uongozi bora na upendo kati ya wenyewe kwa wenyewe
Kuna umuhimu gani wa sisi raia wa kawaida(sio wanasiasa) tukapewa mamlaka ya kwenda kukata rufaa kwa wagombea mbalimbali ambayo tunasababisha gharama nyingine zisizo za msingi kwa taifa letu wakati huku bado ndugu zetu wakiendelea kupata matatizo mbalimbali
Mgogoro huu ni vema Tanzania tukapeleka jambo hili katika mahakama ya kitaifa ya usuluhishi {ICJ} ili tuweze kufikia utatuzi wa busara na kuondoa misuguano hii isiyo na tija kwa mataifa haya yenye mipaka ya karibu na urafiki wa mda mrefu.
naanza kutambua wengi hatujui nini kazi ya mbunge na serikali; mbunge ni kama mwananchi na kazi yake ni kupiga kelele bungeni kuhusu jimbo lake na ndiyo kazi anayofanya mh mdee pamoja na wabunge wote wa CHADEMA na serikali ndiyo inachukua mawazo so mtendaji ni serikali tusilaumu na kuviziana
Tunaona na tunakumbuka mh mdee alivyoachiwa jimbo lilivyokuwa katika migogoro ya ardhi na akatumia nguvu yake ya ziada katika kutatua changamoto hizo ikumbukwe kuwa jimbo la kawe ni moja ya majimbo yaliyokuwa yanaongoza kwa ufisadi wa ardhi lazima mtambue kazi kubwa aliyofanya mbunge wetu katika...
ndugu unapotoa taarifa bila kuwa na uchunguzi wowote unakosea tuulize sisi tunaokaa katika jimbo hili la mh mdee na tunaona kazi anayofanya usiwe mpiga kelele wa kutumwa ovyo. tunakubali kazi ya mnyika na mdee kama wabunge wetu makini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.