Hello ndugu zangu,laptop yangu inatatizo la kujizima hasa inapochemka baada ya kuwa imefanya kazi sana.Sasa hivi naona tatizo linazidi haiwezi kukaa hata lisaa limoja bila kujizima tofauti na zamani ilikua inaweza kukaa hata wiki mbili bila kuzima.Nimejaribu kuuliza juu ya tatizo wapo...
Nasubiri urudi hapa unasema "yule mwanaume mashine spear zimekufa, machine imekongoroka,msaada wenu jamani"......basi hapo utegemee majibu ya kukuelekeza mashine used
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry jamani,naomba mwenye kufahamu software za kutengeneza bit anisaidia either kudownload au kununua kuweka kwenye laptop
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nilivyotanguliza samahani hapo juu,ninaomba yeyote mwenye kufahamu guest mitaa ya kwanzia Kimara to ubungo anielekeze,manake nmepata ofa ya kumwaga sumu weekend hii pia na bei zake ila isizidi buku10 manake niko majalala vyuma vimekaza......I'm sorry again and again, thank you all
Sent...
Me mbona mfupi harafu Shemeji yenu mrefu na mzuri.....kashobokea dundo mwenyewe eti ooh wewe bwana unanifurahishaga nami bila kusita nikapeleka majeshi Silia,haaaa huu mwka wa pili tumegandana
Nashindwa ku-upload video yenye documentary za hip hop ya bongo yenye watu kibao kama x plasterz,gwm,inspector,sugu etc...inafurahisha i think you will enjoy it...Anaejua vzr ku-upload anicheck 0767712840 nmtumie watsap ili tushee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.