Sifuri wa zero
Member
- Apr 14, 2017
- 14
- 13
Sorry jamani,naomba mwenye kufahamu software za kutengeneza bit anisaidia either kudownload au kununua kuweka kwenye laptop
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia google tafta FL STUDIO. ndo ninayoijua mmSorry jamani,naomba mwenye kufahamu software za kutengeneza bit anisaidia either kudownload au kununua kuweka kwenye laptop
Sent using Jamii Forums mobile app
Aksante mkuu vipi kuhusu gharama yake.....Mimi natumia fl studio....ni nzuri sana sanaaaaa
Download ikiwa na patcher yake utapata buree usisahau kudownload plugins na kuomba watu wakupe tools za ziada
Plugins nayo ni software inayonitegemea au naambatanisha na fl studioDownload ikiwa na patcher yake utapata buree usisahau kudownload plugins na kuomba watu wakupe tools za ziada
Ili utengeneze beats nzuri unahuhutaji vifaa ambavyo vinakusaidia kufanya vitu mbalimbali ndani ya hizo software kwa hiyo ukiidownload utaanza itumia fresh tu ila ukitaka kitu kizuri kuna vitu unaiongezea hiyo software iwe na uwezo zaid kama plugins na packs.Plugins nayo ni software inayonitegemea au naambatanisha na fl studio
Sent using Jamii Forums mobile app