Inawezekana kujifunza kumpenda mtu. mfano mbona mara nyingi wanawake wanawatukana wanaume wanaowatokea. mwanaume asipokata tamaa na kuendelea kumfuatilia taratibu kadri muda unavyokwenda mwanamke anaanza kuvutiwa nae kwa jinsi alivyo mvumilivu, mtaratibu, mawazo yake, mtazamo wamaisha, n.k. hadi...