Kwenye "ground" hakuna vitu kama hivyo, hivyo vinabakia huko huko kwenye vitabu badala yake muungano wowote ule katika nadharia unatakiwa uwe wa ki-justice!
Anayestahiki kutoa 10 atoe kumi, anayestahiki kutoa 100 atoe mia na kwenye kupokea ndiyo iwe hivyo hivyo, halafu hii justice inafuatana na...