Recent content by siboman

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini 'couples' nyingi za vyuoni huwa hazidumu hadi ndoa na huishia tu siku ya graduation?

    huwa ni rahisi kuwa na uhusiano kwa kuwa unategemea mkopo Wa chuo na mizinga ya wazazi kwa maana ya kuhitaji matumizi mbalimbali.Ila ukimaliza chuo mizinga hakuna anayetoa kukupa zaidi kukutegemea we we hapo ndipo mapenzi ya chuo huishia kwenye mahafali kwa maana huhitaji majukumu zaidi.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hongera sauti ya shaba
  3. S

    JamiiForums Tanzania There is no such thing called "ONE MAN SHOW"

    Umenena
  4. S

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Huo ni uzushi tu.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Dr. Magufuli amepoteza kura za watanzania

    Fisadi shairi lisilo na kiitikio mabadiliko ni muhimu ilitupate kiitikio bora.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nipashe: Tuhuma za Slaa kwa Lowassa hazina ushahidi?

    Hakuna muda huo wa malumbano sisi tunasonga mbele .
  7. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

    Nguo ikichakaa hubadilishwa nakupata mpya mabadiliko ni muhimu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Goli la kisigino wanalofungwa CCM

    Inawezekana tembo kumtoa mbugani?
Back
Top Bottom