Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Mtaishia kunawa pilau ni la Magufuli tu
Hiyo sahau
Mtaishia kunawa pilau ni la Magufuli tu
Wapo ccm kimwili lkn kiroho wapo ukawa. Pipooooz????
lazima tukubaliane lowassa ana mtaji wa kura nyingi kutoka ccm..kuna wabunge na viongoz wengi bado wako ccm lakn ni team lowassa hadi kufa..iko waz majukwaan watamsifia magufuli kulinda matumbo yao lakin kura zao na wafuasi wao watampa lowassa..na hili ndio goli la kisigino watakalofunga ukawa
Usijali kuhusu hilo viongozi wa ukawa wapo makini mno na Hili suala..hii ni kutekwa kwa ukawa.wenye ukawa wanaondoka yanaingia maccm na sisi tunashangilia!.hii ni mbinu nyingine ya ccm kuendelea kutawala.
Lowasa anaharibu upinzani !!
Lowasa anaharibu upinzani !!