Lepojo Mdudu
Member
- Aug 12, 2015
- 14
- 9
nadhan atakuwa ni tibaijuka
Huyo tunamrudisha TANESCO.Wewe Lizaboni nahisi una uchizi kabisa, maake sijui ni mahaba ya kujifanya haujui hata elimu ya huyo mbunge wako mpaka awe waziri mkuu, na haliwezi kutokea ungekuamshauri vizuri wa serikali yako ili angalau ahadi zenu kede kede mlizo ahidi ungempenekeza PRO.SOSPETER MUHONGO.
Picha tafadhali.
Asije kua mchaga.
hivi nyie mnafikiri mnaweza kupola HAKI ya mnyonge EDO,bado rais hajajulikana!so jipeni moyo tu
Wakafuge nguruwe tu sasa hamna namna.ha ha ha!!
walikuwa na hamu ya ikulu mpaka basi!! wabaki kupandisha bei za bia na mishikaki
hivi nyie mnafikiri mnaweza kupola HAKI ya mnyonge EDO,bado rais hajajulikana!so jipeni moyo tu