Recent content by sibena4

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kozi ya Doctor of Medicine(MD) pamoja na Doctor of Dental Surgery (DDS)

    Great advice, hicho cha mwisho ni muhumu sana
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kozi ya Doctor of Medicine(MD) pamoja na Doctor of Dental Surgery (DDS)

    Great advise, especially kwenye zama hizi za kujiajiri. With BPharm na MBA marketing baadae utafiti sana.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

    Cardiac arrest ni matokeo ya mwisho, nyuma yake huwa kuna mambo mengi including infection e.g Malaria, yaweza kuwa high blood pressure, Diabetes, etc. There is no need to continue debating on the cause of death. Mtu akipata Severe malaria anaweza kupoteza maisha within.short time.
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

    Kwa kifupi ni kuwa kila jinabla mtia nia lilikuwa na Ndiyo au Hapana. So kwenye jina la Nyalandu wajumbe wote wali tick Ndiyo (28 out of 28 =100%; Jina la Lissu, wajumbe 24 waliweka Ndiyo, wanne Hapana, n.k
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hii vita mimi na Wife

    Well said. Inashangaza kuona mada ndofo ndogo kama hozi zinajadiliwa. Tumedilisika agenda kabisa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wadada acheni kutuchukulia poa wanaume wenye miili ya kati/mikubwa

    Poole kwa kuhangaika kurizisha mashimo ya asili, usipoangalia utapata taabu sana kumridhisha binadamu.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako tunaomba utoe tamko kuhusu mwongozo wa elimu baada ya shule kufunguliwa, kuna shule wamebuni michango yao

    Mkuu jiongeze baas, buku 2 tu zinakutoa mimacho wakati ni beer moja tuu, we vipi mbona uko karne ya nyuma saana. If you think Education is Expensive, try Ignorance.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wanachuo wajazana ofisi za Bodi ya Mikopo Dodoma

    Hao wamefuata jela au masomo?? Hata siku ya kwanza tuu haijaisha wanapiga kelele, mmmh....
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

    very well said bro. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    JamiiForums Tanzania CCM mumeona nchi jirani wasemavyo kuhusu Rais Magufuli?

    Well said mkuu. Riziki ya mbwa iko miguuni kwake, na mtembea bure si sawa na mkaa bure. Somo litaeleweka tuu hata kama ni miaka mia ijayo!! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Iringa na vitendo vya lecturers wa sheria

    Mwanangu Grade two kqpewa homework package ya mwezi mzima masomo yote, ww jitu zima university unacomplain. Sasa unataka mwez mzim uwe unafanya nn ww? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, mnawaachiaje watu wenye dalili ya Corona waendelee na shughuli zao?

    mkui, Jambo usilolijua ni sawa na uck wa giza. Kila mwenye mafua na homa wakiwekwa karanteen watawekwa wangapi?? There is nothing dangerous like the "fear of unknown". Cha msingi ni kuchukuwa tahadhari katika ngazi zote kuanzia ngazi ya familia. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

    Well said Prof, congrats. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. S

    JamiiForums Tanzania Afisa wa TAKUKURU amuua mchumba wake kwa risasi baada ya kumkatalia ndoa licha ya kumsomesha

    Ingependeza sana kama TISS angelipia ada, you never know labda alikuwa anapiga kote kote. R.I.P B!!
  15. S

    JamiiForums Tanzania Gari ipi ni ni itanifaa kwa maoni yako?

    Aisee, kukata mzizi wa fitina NUNUA YOOTE mkuu
Back
Top Bottom