Karibu mkuu mimi nipo zambia comesa kibiashara ninauza viatu vya kimasai na baadhi ya bidhaa kibiashara ni pazuri sana gharama za kodi za nyumba ya kuishi na sehem ya biashara siyo kubwa sana inategemea na sehem unayotaka uishi au ufanyie biashara viatu vya kimasai vinapendwa sana na faida yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.