Hi wanajamvi, leo nakuja mbele yenu kuwaeleza hiki kitu.
Nakumbuka mwaka 2010 nikiwa nafanya masters chuo kikuu cha dsm kulikuwa na afisa mmoja wa tra wilaya ya kongwa ndugu STANLEY NYAMBOGA. Huyu kijana alikuwa ni kijana machachari na alikuwa na msimamo mkali asiyependa yumbishwa. Nilibahatika...
Ni kweli mzee hawa vijana wengi wanavuta bangi. Hapa kwetu hakuna RPC.Mwaka jana kuna askari mmoja alijiua sababu ya kugombea matofali ya kuchoma na mwanamke mmoja cha kusikitisha ni jinsi alivyojiua. Huyu jamaa hakuwa lindo wala hakuwa kazini siko hiyo ila alienda kituoni na kuchukua silaha...
Yap hiko ndio kitu kinachonishangaza. Haiwezekani kitu kidogo tu kutumia nguvu nyingi pasipo akili. Mi bado najiuliza kulikuwa na umuhimu gani wa kutumia mabomu ya machozi na risasi za moto kwenye kivurugu cha watu ishirini?
Ndugu wadmau wa michezo,mi ni mdau mkubwa wa mpira wa miguu na nimecheza na kuishi sehemu mbalimbali hapa nchini tanzania.
Kuna kitu cha ajabu nilichokikuta na kinachoendelea hapa wilayani kwetu. Chama cha soka hapa wilayani kwetu na mkoani kwa jumla kimekuwa mstari wa mbele kuua mchezo huu...
Ndugu wadmau wa michezo,mi ni mdau mkubwa wa mpira wa miguu na nimecheza na kuishi sehemu mbalimbali hapa nchini tanzania.
Kuna kitu cha ajabu nilichokikuta na kinachoendelea hapa wilayani kwetu. Chama cha soka hapa wilayani kwetu na mkoani kwa jumla kimekuwa mstari wa mbele kuua mchezo huu...
Ndugu wanajamvi nauliza hivi baada ya tukio lililotokea hapa mpanda mjini jioni hii.
Leo kulkuwa na pambano la mpira wa miguu kati ya POLISI KATAVI na KAWAJENSE ambapo polisi walishinda 1 bila goli la upendeleo kikatokea kiugomvi kidogo sasa cha kushangaa polisi wakaanza piga risasi za moto na...
Ndugu zangu wanajamvi, leo najitokeza mbele yenu kwa ajili ya kumuomba radhi mzee wetu,mbunge wetu na makamu mwenyekiti wa cdm taifa. Pamoja na wanajamvi na wana bdm wote niliowakwaza kwa namna moja au nyingine kwa thread niliyoiandika.
Ndugu wanajamvi wiki 1 iliyopita niliandika hapa jamvini...
Alitaka afaulu bila kusoma?
Ndugu zangu hususani wakubwa wenzangu. Nadhani mnajua hakuna kazi ngumu kama kusoma. Ukiwa mwanafunzi inahitaji sana commitment na kusoma vitu vingine vyote unaviweka pembeni na kupiga shule kama tulivyokuwa tunafanya.
Sasa hawa watoto wetu wa siku hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.