Recent content by shukuru million

  1. shukuru million

    JamiiForums Tanzania Polisi na NEC, itoe ufafanuzi wa haraka juu ya hofu ya 'kura feki' kila kona

    Leo ndo tunaua ufisadi wao
  2. shukuru million

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wapi tunapata matokeo ya Uchaguzi

    Wana-JFM vipi kuhusu matokeo mbeya
  3. shukuru million

    JamiiForums Tanzania Mbeya tujulishane matokeo ya kura

    Ni vizuri tukajulishana matukio na matokeo kutoka vituo mbalimbali jamani
  4. shukuru million

    JamiiForums Tanzania Kura za Dr. Magufuli dhidi ya Lowassa

    Lowasa tu
  5. shukuru million

    JamiiForums Tanzania NEC ichukue hatua ya dharura kuahirisha huu uchaguzi

    Ni kweli kabisa
  6. shukuru million

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Kikwete imeharibu kabisa ufungaji wa kampeni za Magufuli

    Anadhani kuwa atampatia ushindi magufuli. Mabadiliko tu!;
  7. shukuru million

    JamiiForums Tanzania KADHI Courts not only a foolish idea but unconstitutional too

    Great error and endurance foolish !
  8. shukuru million

    JamiiForums Tanzania KADHI Courts not only a foolish idea but unconstitutional too

    The country of dreamless.If this idea is make religional doctrine it is good to allow all religions to build their own courts.Otherwise we will know the worst trick of our leaders.Do not take us down!
  9. shukuru million

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Ni vizuri tujue wao wanalipwa sh ngapi kwani wao ni akina mungu? Wote ni wanadamu tofauti ni kazi mbona wao wanajua mishahara yetu na vipato vyetu alafu wakishajua wanatukadiria
  10. shukuru million

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

    Hii mitandao iwe huru tu acheni mambo yenu ya kutubana
  11. shukuru million

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

    Mi sijui wanataka kuipeleka wapi nchi hii.Uhuru wa vyombo vya habari kubanwa kiasi hiki ni kumnyima mtanzania haki ya kupata habari za ndani ya nchi yake.Hata hivyo ni kumfanya mtanzania kupoteza hamu ya kusikiliza media za ndani au kusoma magazeti ya kitanzania kwani atajua fika hakuna habari...
  12. shukuru million

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ni vizuri kutoa muda mrefu wa account.juzi naenda kucheki balance naambiwa akaunti yako imefungwa.heeeee Mara hii?
  13. shukuru million

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Tunaomba kupunguza idadi ya SMS na kuongeza mb maana hatuna muda wa kuandika meseji ila tuna muda wa kuingia kwenye internet
  14. shukuru million

    JamiiForums Tanzania Ni upi muafaka wa Wafanyabiashara?

    Tunaona kimya kabisa hadi leo hivi hamjui kuwa tunaumia sisi wa hali ya chini.? Nini kinaendelea huko serikalini au ninyi viongozi mnanunua wapi mahitaji yenu? Maduka yamefungwa mfululizo siku tano sasa.aah jamani nchi hii vipi enyi wakuu?
  15. shukuru million

    JamiiForums Tanzania Picha: Wachungaji wasaidizi wa Gwajima waachiwa na Polisi

    Atajitukuza tu Mungu si mwanadamu
Back
Top Bottom