Arafu tunaambiwa kuwa MUNGU yupo.
Sawa basi tufanye yupo ila tuambiwe wote ni kitu gani unatumia kujua kuwa huyu ndio MUNGU.
Forexample:. Hakuna aliyewahi kuiona baridi wala hatujui ina rangi gani ila ngozi inauwezo wa kuhisi na ukajua kuwa eneo ulilopo linabaridi au hakuna baridi.
Sasa kujua...
Sorry mkuu.
Kwann tusipate group hata kwanjia ya whatsapp ili tupate ujuzi zaidi KUHUSU hizi habari?
Maana apa kunawatu wataacha kuleta hoja za nguvu bali watakuona kama vile wewe ni shetani wakati kitu unachokiipongelea kiko sawa kabisa
Lazima lile jeneza la yule marehemu tajiri
Mkashauriana na jamaako rasi mumuuwe tajiri mwingine ili muuze jeneza kwa awamu nyingine
Dah! Kweli inataka moyo
Nashukuru sana kijani1 1 apo nimeelewe tena kwa uzuri kabisa.
Ila deejey nasmile yeye anawaza mziki tu maana kanijibu shortcut adi sio pw [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila nasmile nakubali sana nyimbo zako brother
KEEP IT UP [emoji123][emoji123]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alikuwa muimbaji wa reggae kwa Sasa ni marehemu nataka kulijua jina lake halisi.
Nisaidie kama unajua mkurungwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.