Recent content by Shuju

  1. S

    Taifa Stars Vs Malawi

    Mechi ni SAA 8 mchana ya Malawi ambapo huku ni. SAA 9 alasiri, viva Taifa. Stars
  2. S

    Naombeni msaada jamani

    Hivi pale mtu anapousemea moyo wako ukiwa unaona jambo linakuhusu na hauwezi kuliepuka kwa muda huo katika hali ya ustaarabu unafanyaje
  3. S

    Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

    We mtemi nakuangaliiiiia Wewe una umimi udini ukabila ushamba wa mawazo mana huelewi we ilmrad umebwata we unapingana na wanaowafichua wasio wazalendo
  4. S

    Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

    We fugwe nawe ulitafutiwa kazi nini mana hao wanna haki lakini kuna waliowazidi vigezo sana na wameachwa hat a Mimi peasant am competent bt hata sidhan kama hata bahasha ilifunguliwa
  5. S

    Mara nyingi najihisi kuwafia familia yangu, ndugu, jamaa na marafiki zangu wote

    Sikiliza kaka muombe muumba wako awe kiongozi wa maisha yako yesu pekee ndiye aliejitoa kwa ajili ya watu Wewe ukijitoa utakuwa umemkosoa Mungu kwa upendo wa kumtoa mwanae Wewe Fanya juhudi wawe na maisha bora
  6. S

    MISINGI YA NDOA !! Zingatia!!!!!

    Tunashukuru mtoa mada sasa ni kukazana kuomba milango ya baraka iendelelee kufunguka ili tukifanikiwa tukapate kuyapractise na tunawaombea waliopo wapate kuyaangalia kwa kina. asante mtoa mada upate kujawa na furaha ya moyo.
  7. S

    Kuna wanaume wengine nje (housing) wanaume lakini ndani ni wanawake

    Teh mada nzur tambuen nyote mna wajibu wa kubadilishana ukiona anaenda knyume mshaur mupenz wako asposikia ndo umhesabie kundn teh bt somo hilo
  8. S

    Maswali yasiyo ya lazima yanayopendwa kuulizwa na wapenzi wanaume/wanawake!!

    Kwel demba mi nimependezwa na comment yako na ninapenda sna nikiongea na mpnz wangu nimuulze yuko wap anafanya nin na anaendeleaje hata mi nkiulzwa hayo ninajiwa na wazo kuwa ktka mawazo yake ya ck nina aslimia zangu pale bg up Demba
  9. S

    Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

    Nina mdogo wangu ambaye ninampenda sana ndo nikaona awe ananiwakilisha jf
  10. S

    Unazijua Tenses wewe!?!?!!?

    Hahaha du imeleta ukwel
  11. S

    Mke wa mtu anataka turudiane, alikuwa girlfriend wangu

    Elewa kijana kichwa kijitume kufikiri ubongo unase unayoambiwa mke wa mtu sumu. kama ni glfrnd wako ungeshkilia mcmamo wako kutokuoa mpaka aachike kwa mumewe. kaka hv mama na baba yako wangekaa wakaacha kuwalea wakarudiana na maboy/glfriend zao we ungesalimika ama ungekuwa mtoto wa mtaan. tafakari
  12. S

    kimenuka temeke hosptal...

    tupe habar
  13. S

    Madudu ya wahitimu vyuo vikuu.

    Mh jaman we mshamba
  14. S

    Nafasi za kazi mpya leo.

    kaz kwel kwel kigezo single je kama maried atashndwa kaz ama
Back
Top Bottom