Recent content by show stoper

  1. S

    Simon Mwakifamba: Wasanii wenzangu na wananchi tupige kura ya NDIYO kwenye rasimu ya tatu iliyopende

    Usanii gani unazungumzia, au ni huu uhuni/ ujanja ujanja/ uongo wa kibongo unauita usanii?kama ni hivo upo sahihi kabisa.
  2. S

    Simon Mwakifamba: Wasanii wenzangu na wananchi tupige kura ya NDIYO kwenye rasimu ya tatu iliyopende

    Hii million 10 inayotajwa sio idadi ya wasanii, ccm wana derive equation ya kuiba kura. Watatokea wasanii wasiozidi 100 wataunga mkono katiba pendekezwa, Kwa kuwa waDanganyika tulishaambiwa wako mil 10, wakija iba kura utasikia wasanii wote walipiga kura ya NDIO, ila kiukweli siwezi poteza muda...
  3. S

    Mangula: Najuta kuishi jimbo la Halima Mdee

    Makamu mwenyekiti ana akili mgando.
  4. S

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Hii kitu ni spiritual attacks. Na inatesa vijana wengi sana.(wa kiume/ kike) in short inaharibu system nzima ya maisha yako. Ukiwa mwanafunzi halafu ukawa msahaulifu kuna kufaulu tena, hauwezi ukakaa na kufikiri jambo la maana hata kidogo. Kwa kuwa ni spiritual attack(mapepo, Kwa hali ya kawaida...
  5. S

    Mrisho Mpoto: Mjomba kawaambie wale waache kukuna palipo acha kuwasha

    Mjomba mjomba,Mrisho Mpoto a disgrace to our nation
  6. S

    Akamatwa na mkono wa albino na kuachiwa huru

    Wewe ulidhani watamfikisha mahakamani? Wanaohusika na huo mchezo ni viongozi wakubwa wa serikali, huyo alitumwa tu kupeleka huo mkono mahali
  7. S

    Nabii & Bilionea TB Joshua atoa mabilioni kwa wafiwa Afrika Kusini, pia kushtakiwa

    Usipende kusema kitu Kwa kukurupuka, elewa kwanza kitu ndo uongee, unajua maana ya structural failure na controlled demolition ?
  8. S

    Ethiopian Airlines yaagiza ndege 20 za aina ya Boeing

    Usipende kuamini kila unachoambiwa, binafsi nilipita Addis Ababa Ethiopia, vyoo vilikuwa katika hali nzuri , labda siku wenzagu walipopita haikuwa hivo kutokana na uhaba wa maji. Ethiopia wana uwanja mzuri sana, kama ni kero mbona hata hapa bongo upo, yaan hadi Leo mtanzania unarudi nchini una...
  9. S

    Who is Daniel?

    Jina Daniel lina maana ya "Hakimu wangu ni Mungu pekee"
  10. S

    CHADEMA wasaidieni Ndugu na Jamaa wa Wahanga wa Bomu lililotokea Soweto, Arusha

    Watatoa muda wanaotaka wao na sio maharamia
  11. S

    CHADEMA wasaidieni Ndugu na Jamaa wa Wahanga wa Bomu lililotokea Soweto, Arusha

    Nape aka MwanaDiwani, fitina haziwezi kushinda ukweli hata siku moja.
  12. S

    CHADEMA wasaidieni Ndugu na Jamaa wa Wahanga wa Bomu lililotokea Soweto, Arusha

    Kutoa mkanda wa waliolipua hakuendi kienyeji kama unadhani na wala haiko hivo, na usitegemee CDM kutoa huo mkanda kutokana na pressure yoyote, watautoa muda wanaojua wao ni sahihi. Walisema wanaweza kutoa video hiyo kama itaundwa tume huru ya kimahakama. Serikali haikuunda tume huru ya...
Back
Top Bottom