Recent content by Shotocan

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Mimi bado sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe, Ngaka kuna migodi 16

    Uko sahihi kampuni zake hizi hapa Here’s a detailed overview of Rostam Aziz’s major business ventures in Tanzania, based on the most recent available information: Key Companies and Investments 1. Telecommunications Vodacom Tanzania Aziz held around 35% of Vodacom Tanzania via Cavalry...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Mimi bado sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe, Ngaka kuna migodi 16

    Ufinyu wa exposure ni kitu hatari Huo mgodi ulikuwa wa kampuni binafsi Ikausajili kwenye soko la hisa Uingereza Rostam kanunua hisa kwenye soko la hisa uingereza Sasa akulipe kodi wewe mtanzania kama nani? Kama kodi ni kulipa uingereza sio Tanzania alikonunua
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Mimi bado sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe, Ngaka kuna migodi 16

    CHADEMA kifupi wanafiki sana walitukana Lowasa kuwa Fisadi mkubwa alipoingia CHADEMA wakajikausha utafikiri sio wao waliokuwa wakimsema
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Mimi bado sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe, Ngaka kuna migodi 16

    Tatizo kuanzia Lisu na CHADEMA na akina polepole ni ujinga umewajaa wanadhani serikali ndio ilimuuzia
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Kijana Anazindua Vitabu Viwili Kwa Siku Moja na Kwa Wakati Mmoja

    Issue sio kuzindua hata angezindua vitabu mia moja issue soko la hivyo vitabu analo?
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mwanamke wa kizungu

    Hadi wachina wanaojiuza kariakoo wapo
  7. S

    JamiiForums Tanzania IFM Mwanza yageuka dampo la degree za insurance and risk management,

    Wenyewe wanaosoma wanajua watakako zipeleka hizo digrii za Insurance na Risk management Pilpili shamba wewe.mleta mada kinakuwasha nini? Ada za kwao vichwa vya kwao
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mwanamke wa kizungu

    Hata wazungu wanaojiuza wapo mitandaoni
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mzee pekee mwenye uhalali wa kushauri na kuliokoa Taifa la Tanzania ni Mstaafu Joseph Sinde Warioba

    Warioba na Butiku hawako neutral wanafungamana na upinzani
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais Samia aanguka ghafla wakati wa kampeni Mbalizi, Mbeya

    Sio kweli kuna walinzi wa nje na ndani Raisi akienda kupumzika ndani walinzi wa nje wa msafara huenda kupumzika wakisubiri msafara kesho wao ni wa msafara tu akienda kulala wako washika zamu sio hao wa msafara Kadanganye wajinga wenzio Huyo aliyedondoka vetting mbovu hakustahili huyo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rwanda imekuwa Taifa la kwanza Africa kuzindua taxi ndege Jijini Kigali

    Hongera zao kama soko lipo
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais Samia aanguka ghafla wakati wa kampeni Mbalizi, Mbeya

    Mara ya pili hiyo mlinzi wa Raisi anadondoka Mara ya kwanza alikuwa yule mwanamke mlinzi wa Raisi anayekaa nyuma yake nusura amwangukie Raisi akihutubia Angemwangusha Raisi Raisi lazima angeumia kwa kudondoka sakafuni na podium yake
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais Samia aanguka ghafla wakati wa kampeni Mbalizi, Mbeya

    Raisi anapumzika kipindi hiki cha Kampeni? Huyo hana uwezo waliomuweka hawakutimiza wajibu kufanya vetting vizuri Wanaacha waliokakamaa wanachukua mi bogus legelege Ulinzi ni sawa na kuwa vitani ukipumzika ukiwa zamu adui anakuua
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais Samia aanguka ghafla wakati wa kampeni Mbalizi, Mbeya

    Ashindwe kuchoka Samia ndipo achoke mlinzi ? Samia anasafiri nao na hajachoka ndio achoke yeye?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais Samia aanguka ghafla wakati wa kampeni Mbalizi, Mbeya

    Tatizo ni hao wanaowapa hizo nafasi wakati watu wenyewe uwezo hawana Mambo ya kupendeleana hayo na kuacha wenye uwezo matokeo ndio hayo
Back
Top Bottom