Recent content by shoswede

  1. S

    Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

    Mtu akikaa nje ya nchi upeo unapanuka kidogo, unaona jinsi Africa kiongozi kachaguliwa na wananchi halafu anakuja kujikuta mungu mtu aabudiwe na wananchi waliompa kiti. Sasa nadhani CCM wanaonja pain waliyokuwa wanawapa upinzani pia in other way. Tena afadhali yao hawalali huko rumande nakuwa...
  2. S

    Hii nchi kuna Watumishi wa Umma wanakula raha nyie

    Ubinafsi mkubwa wa waafrika ndounaotuweka hapa tulipo. Kukishakuwa na usawa sikuzote vita hakuna. Hakuna usawa nchi hii kwakuwa rasilimali zinaelekea upande mmoja na kuacha upande mwingine mtupu Kabisa watu masikini wakiteseka. Hizo fedha zanyongeza zinazolipwa zikusanywe zikazibe gap za...
  3. S

    Mnaomshambulia RC wa Arusha, mnafurahia kiongozi wetu kutukanwa?

    Na hii ndosolution no. One katika hatma ya nchi hii. Vijana wanauana kushinda Kwa waganga kupata chance za siasa kwakua ni mapesa. Zishushwe daraja na kuwa kazi ya kawaida Kabisa ili ifisishe hio dhana. Na Si tuu siasa posho zote nchini zisizo na tija zifutwe kazi ziwe level yenye gap dogo...
  4. S

    Hii nchi kuna Watumishi wa Umma wanakula raha nyie

    Ikiingia serikali makini madarakani nikufuta Kabisa au kuondoa hizo posho zote za vikao. Vikao viwe sehemu ya kazi maana ndivo ilivo. Kumlipa mtu posho ya vikao siku hiohio alipwe na mshahara wa siku ni double payment. Nchi hii sio masikini kivile hakuna ugawanywaji sawa kufikia jamii nzima...
  5. S

    Dark days 17/03/20...

    Minadhani Hawa watabiri sijui nabii hawaji tu from no where, Kuna system ipo nyuma yao inafikisha ujumbe Kwa jamii Kwa style ya unabii utabiri. Ikitokea huyo kiongozi kafa kweli labda Kuna revenge inaandaliwa ndo Hilo balaa la Dar es salaam. Mawazo yangu.
  6. S

    Tatizo la Tanzania halikuwa ujamaa wala vita vya Kagera bali ombwe la uongozi

    Kabisa ndugu, Nyerere alitengeneza mifumo kutokana na wakati uliokuwepo kuweka nchi kuwa na umoja nakuvuka vizingiti vya nyakati hizo. Sasa nijukumu letu kuchukua alipoishia na kutengeneza mifumo mipya kulingana na wakati huu wetu sisi. Sasa kuanza kumlaumu mzee miaka sijui mingapi ilopita...
  7. S

    Ninaunga mkono hoja ya Godbless Lema kuhusu utalii. Soma hapa alichoandika mtandaoni

    Kwahio "target market" hapo ni mjerumani zaidi! au mzungu....So asipojisikia kuja bongo je? Mhindi au muarabu atatoka kwao huko aje kuona sehemu mjerumani alikua anapumzika na kunywa kahawa anapata view ya bahari? Lol useless.
  8. S

    Ninaunga mkono hoja ya Godbless Lema kuhusu utalii. Soma hapa alichoandika mtandaoni

    Biashara ya utalii inategemea sana "word of mouth" hivo unaweza kupanda juu dakika na kushuka vivo hivo. Ndomana binafsi sioni sababu ya kuwekeza Kwa nguvu kubwa eneo hili. Unaweza kujibrand Kwa mamilioni halafu mtu mmoja anakuja na strategy yakukuchafua biashara yote inadorora. Kama ilivokuwa...
  9. S

    Ninaunga mkono hoja ya Godbless Lema kuhusu utalii. Soma hapa alichoandika mtandaoni

    Minadhani pia watalii huwa wanaenda sehemu waliyotarget regardless marketing etc. Yani sehemu wenye mahusiano yenye maslahi. Ukiwa karibu nao wanawapa code na wenzao inakuwa kama target. Ndomana binafsi naona kama sekta ya utalii ni kama game tu. Hivo sioni sababu kutumia nguvu kubwa kuwekeza...
  10. S

    Ninaunga mkono hoja ya Godbless Lema kuhusu utalii. Soma hapa alichoandika mtandaoni

    Exactly, kama tu Kilimanjaro na maajabu yake, sijui....mbuga za wanyama etc hazijafurikisha watalii Tanzania nidhahiri utalii sio wakutegemea kivile kuinua nchi.
  11. S

    Ethiopia kupitisha sheria ya kuruhusu raia wa kigeni kumiliki ardhi

    Sawa, ila baadae wasianze kutorokea nchi nyingine Kwa kisingizio Cha EAC kuomba share. Ethiopia ni vibaraka wengine tu wa mabepari.
  12. S

    Mzungu arekodiwa akieleza jinsi wamejinga kuendelea kuididimiza Afrika

    Kuna haja sana tukaanza kujifunza namna yakujitegemea. Kwanzia dawa tunazoagiza nje na mbegu/ mbolea ambazo hivi ndovinagusa maisha yetu Moja Kwa moja. Tusipoamka Sasa nidhahiri Africa hatuna future. Kama jinsi wao wanawafunza watoto wao na vijana Toka chini namna yakutunyonya, nasisi tuanze...
  13. S

    Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

    Hatujuagi kutafuta chanzo Cha tatizo hata siku Moja, ndomana Africa tupo hapa hapa mpaka leo. Tunatakiwa kuchimbua makaburi yote na kukusanya data zatulipotoka tupate mwanga na mwelekeo wa tunapokwenda. Lazivo turaendelea kuburuzwa hapa hapa.
  14. S

    Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

    Ungepelekwa tu sehemu zenye uhitaki mkubwa wa chakula kama Ethiopia, Madagascar na kwingine. Sasa bongo Michele yote hii na maharage Kila Kona kweli? Ama kunalingine?
Back
Top Bottom