Recent content by shoshte

  1. S

    Umefuata moja wapo ya haya?????

    sio formula hii ukariri na ubishi hamna hapo
  2. S

    Umefuata moja wapo ya haya?????

    huwezi kufuata yote lazima pawe na moja inayobeba nyingine
  3. S

    Varangati la kujishtukia.

    a lesson learned hatarudia tena
  4. S

    Umefuata moja wapo ya haya?????

    Katika kuoa kuna kuoa kwa aina tatu 1 kijana anaona ana majukumu mengi ya kazi anaona anahitaji msaidizi km akute chakula kufuliwa nk 2 tamaa yaani wenzake wote wameoa anawafuata na pia tamaa ya kungonoka wanavosema waswahili 3 umri umefikia na anaweza kuitunza familia sasa hapa umefuata ipi au...
  5. S

    Mikataba mibovu mpaka kwenye ndoa

    kwanini utangulize kuonyesha kushindwa??shida sisi wenyewe tunangia kwenye ndoa kwa pupa hatuangalii ni yupi anayefaa na pia tunafuata tamaa za miili yetu Mke na mme mnastahili mfurahie ndoa yenu milele mtangulize Mungu wakati wa kuchagua mwenza wako na utafurahia maisha ya ndoa milele
  6. S

    I need help - love is blind

    put yourself in the shoes of his wife and now come for the advice you will get it from me!!!!!
  7. S

    Inakuwaje ugomvi wenu wa mahusiano utatuliwe na wengine...????

    Mi naunga mkono wachangiaji hapo juu kwamba mkikwaruzana tafuteni suluhu wenyewe haina haja kutoa siri zenu kwa wengine lazima mmoja ajishushe ili mfikie mwafaka msitumie ubabe hata kama ni mwanaume jishushe au mwanamke ili mfikie suluhu mkitoa siri zenu nje tayari hapo familia inaingia kwenye...
  8. S

    Msaada wa Mawazo

    tamaa ilimuua fisi
  9. S

    Mpenzi wa kwanza.....

    kama una msimamo dhabiti utamkatalia ila kama unaongozwa na tamaa utakubali hiyo ya zamani inabakia kuwa historia
  10. S

    Ogende ogaruke na Shuntama

    Haya yote yanatokana na kutokumwamini Mungu Biblia inasema Bwana asipoijenga nyumba wajengao wafanya kazi bure na Bwana asipoilinda nyumba walindao wakesha bure. So utaenda kutafuta dawa kumlinda mpenzi wako kwanza unaenda kwa binadamu mwenzako kumwomba msaada pili unapewa masharti ukikikuka...
  11. S

    Akuna jipya wizi mtupu!!!

    kabisa wizi mtupu
  12. S

    Kwanini huwa tunaficha ukweli????

    tamaa ndo zinatupeleka huko na kutorhika na tulio nao
  13. S

    Uhusiano kabla ya ndoa

    je ulitumia kipimo gani kuonyesha umri wa uja uzito?kama ni ultra sound ina weza kuonyesha kuwa uja uzito una wiki mbili mbele au wiki mbili nyuma so hapo naona kwanza humwamini mtu wako ndo maana una wasiwasi cha kufanya subiria mtoto azaliwe upime DNA ndo moyo wako utatulia
  14. S

    Mungu ameumba!!!!

    Hapo ndo tunapo kosea sasa sisi tunakutana na mtu mnaingia kwenye uhusiano ukiona anaenda sivyo ndivyo unaanza kumwomba Mungu ambadilishe ila tungemshirikisha kwanzia mwanzo tusingekuwa na shida
  15. S

    Ubaguzi mwingine haufai katika familia

    Hapa naongelea true story ambayo nimeishuhudia kwa macho yangu
Back
Top Bottom