Recent content by SHOSHOLOZA

  1. SHOSHOLOZA

    Mtoto kubadilishwa jina la baba mzazi na kupewa jina baba wa kufikia

    Nashukuru kwa michango, kwa kifupi sana; nilioa na kuzaa nikiwa aishi naye huyo mama, cheti cha kuzaliwa kiko sawa na ninacho mwenyewe, kulikuwa na fununu za mke wangu huyo kutembea na baba yake mzazi (wachaga), sikushuhudia kwa macho lakini ilifikia sehemu nikaamini hilo. Baadaye nikaamua...
  2. SHOSHOLOZA

    Mtoto kubadilishwa jina la baba mzazi na kupewa jina baba wa kufikia

    asante kwa ushauri, lkn damu ya mtu si ya kuchezea. Hata kama silipia ada, kikwetu huwa wanaitwa kwa ubini wa mjomba au baba kizaa mama. Ila ushauri nimzuri, nitaufanyia kazi.
  3. SHOSHOLOZA

    Mtoto kubadilishwa jina la baba mzazi na kupewa jina baba wa kufikia

    Ndugu zangu naomba msaada wa kisheria nina mtoto wangu kabadilishwa jina na kupewa la baba wa kufikia, nikiongea na mama yake anasema kwakuwa silipi ada ya mtoto (12yrs) na huyo bwana analipa ndo maana ikawa hivyo. Naomba msaada wa kisheria uu ya hilinianzie wapi, ilinisaidiwe. Asanteni
  4. SHOSHOLOZA

    Msaada wa kujua jinsi ya kuona u-tube video kwenye wifi network iliyozuiliwa

    Wana jamvi, naomba kujua jinsi ya kufanya ili niweze kuona u-tube video, natumia wifi network ya kampuni lakini hamebana kuona youtube na kudownload. Tafadhari saidieni wataalamu.
  5. SHOSHOLOZA

    Msaada wa kujua jinsi ya kuona youtube video kwenye wifi network iliyozuiliwa

    Wana jamvi, naomba kujua jinsi ya kufanya ili niweze kuona youtube video, natumia wifi network ya kampuni lakini hamebana kuona youtube na kudownload. Tafadhari saidieni wataalamu.
  6. SHOSHOLOZA

    Ninatafuta kazi ya IT-PROGRAMMING L

    huyo ni msomi ambaye hawezi hata kujieleza. Elimu yetu inakwenda wapi?
  7. SHOSHOLOZA

    'Rupees' hela ya kale ya Ujerumani

    50 million dollars worth WW1 German Coins=
  8. SHOSHOLOZA

    Natafuta bose solo tv speaker

    Wana jf naomba kujua sehemu ambayo naweza kupata bose solo tv speaker-dar es salaam au sehemu yoyote tz. Tafadhari saidia mawasiliano ya wahusika pia.
  9. SHOSHOLOZA

    Vitunguu vyeupe visivyo washa kwenye macho

    Ndugu zangu niko Africa magharibi nchini Mali, nimeshangazwa na aina ya vitunguu vya huku ambavyo haviwashi, havina harufu kali na ni vikubwa, nawaza kuchukua mbegu kuleta tz. kwa wataalamu tafadhari nijulisheni kama aina hii ya mbegu ipo hata bongo. saidieni tafadhari.
  10. SHOSHOLOZA

    Wana JF nauza Samsung Home theatre yangu ipo katika Hali nzuri nimetumia mwaka mmoja tu!

    Juhudiandew, Mfano: Simu kuna tecno, nokia, nokia pia ana aina kama c2, asha. Tecno kuna p2, p5, l5 swali langu lilikuwa hiyo ht ni samsung make gani?
  11. SHOSHOLOZA

    Post za walimu WALIO HITIMU vyuo VIKUU MWAKA 2013

    Jf kuwe na darasa la kishwahili, mfano mtu anaandika (serikali aina pesa) akimaanisha serikali haina pesa, huenda naye ni mwalimu. Majanga
  12. SHOSHOLOZA

    Pastor wa EAGT akutwa na mwanamke machakani.

    hakuna cha ajabu kwakuwa naye ni binadamu.
  13. SHOSHOLOZA

    Shamba linauzwa

    Hupokei simu
Back
Top Bottom