Recent content by Shoshmita

  1. Shoshmita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempa zawadi ameninunia

    Hah hah hah Labda bebe aliexpect kupewa gari
  2. Shoshmita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini binti ukimwambia Utakua mama wa watoto wangu anadata kuliko kawaida

    Ok ntafanya kautafiti
  3. Shoshmita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini binti ukimwambia Utakua mama wa watoto wangu anadata kuliko kawaida

    Watoto huwa wanandoto za kuolewa kweli?
  4. Shoshmita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempa zawadi ameninunia

    Wengine hawapendi surprise, ndio maana huyo jamaa baada ya kumsuprise bebe yeye ndio kawa surprised
  5. Shoshmita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempa zawadi ameninunia

    Mmh huyo mwanamke hana tu shukurani na hao mashoga zake wanafki tu, ila next time ukitaka kumpa zawadi muulize anataka zawadi gani achague mwenyewe.
  6. Shoshmita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempa zawadi ameninunia

    Hah hah hah umenichekesha aisee, huyo ukute kijijini hajatuma
  7. Shoshmita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Enyi wanaume tuwapendeni na tuwatunze wake zetu

    Ujumbe mzuri huu
  8. Shoshmita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania We mwanaume unikome!

    Duuu unaroho mbaya, pole kwake huyo kaka maskini kama yupo humu atakuwa kajisikia vibaya.
  9. Shoshmita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto za mpenzi zinanikosesha raha

    Hiyo ndio inaitwa akufukuzae akwambii toka, sasa sijui ww unasubiri nin dada, na wewe mblock na usimuunblock tena..
  10. Shoshmita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mvuto unaoweza kukutesa

    Mmmh pole sana kaka, Hebu nenda kwa wataalam wa hayo mambo kama hospital na tiba asili, mungu atakuponya inshallah...
  11. Shoshmita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu sio rafiki

    Mmmh pengene unaongea sana, yani humpi nafasi na yeye ya kuzungumza, coz hata mimi nikikaa na mtu anaongea kama chiriku huwa nanyamaza tu namuangalia. Ushauri uwe unaongea kwa kiasi na yeye umpe nafasi ataongea...
  12. Shoshmita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu sio rafiki

    Mmmh kumbe hivi ndivyo tunavyofikiriwa watu tusio waongeaji
  13. Shoshmita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanajua mapenzi ila hawajui kukata kiu ya mapenzi

    Mmmh Kwahiyo wew ushajaribu kwa wengi ndio ukaona hawajui?
  14. Shoshmita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kumuoa ila anapenda pesa na muda wote yupo mtandaoni

    Mmmh hah hah
  15. Shoshmita

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfurahisha mumeo kwenye misingi ya uislam

    Somo Zuri sana hili wanawake wenzangu
Back
Top Bottom