Mmmh pole sana kaka, Hebu nenda kwa wataalam wa hayo mambo kama hospital na tiba asili, mungu atakuponya inshallah...Habari wanajamvi, poleni kwa mtikisiko wa kiusalama kwa ndugu yetu Lissu dua zetu Allah anazidi kumpa wepesi.
Niende kwenye mada mi nikijana wa 26yrs old nina kazi yangu na najitegemea kwa kila kitu.
Ni kijana mwenye mvuto sana kwa kina dada wa rika zote, kiukweli nasumbuliwa saana hasa na watoto wakali mno.
Nahisi mvuto wangu ni pigo la maisha kwangu kwasababu inabidi niwakimbie viumbe hao kwasababu siwezi kuwashughulikia nina upungufu wa nguvu za kiume juzi hata nimejaribu kutumia dawa za viagra inayoitwa NJOI ndio sikuweza kusima kabisa siku mbili hadi aibu na mrembo niliyekua nae ananidai anataka nimle ili roho yake itulie maana siku ile nilimdanganya kwamba naumwa.
Msaada wenu maana mpaka natamani kujiweka mchafu nivute bangi au niwe mlevi wasinipende naona mvuto wangu unagharimu maisha yangu.
Ahsanteni
Ushaur hautoshi mpe tiba;Mmmh pole sana kaka, Hebu nenda kwa wataalam wa hayo mambo kama hospital na tiba asili, mungu atakuponya inshallah...
Bora kuwa wasira.. kuliko kuwa HB harafu mashine ziroKwel Muhenga alisema Mungu hakupi vyote aliwaza Mbali sana
But anyways Tangazo tumelipokea
Ana uzuri gani huyu?Ni Mara Chache Sana Kukuta Mwanaume mwenye Sura Nzuri Ni Straight Wengi Huwa Mahanithi kama Huyu Jamaa
Dalili Za Uhanithi Ziko Wazi Ikiwa pamoja Na
-Uzuri Ulipitiliza Kwa Mwanaume
-Kutoota Ndevu/siyo kwa wote
View attachment 586099 View attachment 586100
View attachment 586099 View attachment 586100
-
Mashine hua zinanyanyuliwa.Bora kuwa wasira.. kuliko kuwa HB harafu mashine ziro
BUJA
Mashine ndo kila kitu. Kwanza uwasira unaonekana kama huna pesa ila ukiwa na pesa unakuwa bonge la HB na warembo watakukimbilia tu