Wanamgambo wa ISLAMIC STATE wametoa video inayoonyesha muingereza Allan Hanning akikatwa kichwa. Na bwana huyo alipopewa mda wa kuzungumza kabla ya kunyofolewa kichwa chake alionekana kulilaume Bunge la Uingereza kwa kuamua kushirikiana na Marekani kuwapiga mabomu ISLAMIC STATE. Na kama...
Hii imetokea huko amerca kwenye mchezo wa american football. Mchezaji huyo muislamu alishangilia kwa kusujudu baada ya kufunga bao kwenye mchezo huo. Tukio hili limeacha sintofahumu kubwa kwa mashabiki wa mchezo huu kwani kabla ya tukio hilo wapo watu walishangilia kwa ishara za...
acha kufikiria na MATTER-KO wewe....hakuna chombo cha sheria kinaweza kujiendensha bila ya kitu kinachoitwa Law enforcement lazima kuwe na usimamiaji. Kinachotakiwa ni kwamba jambo likishaamuliwa na kadhi basi lazima kuwe na nguvu ya kipolsi kwa ajili ya kufanya utekelezaji wake kwa...
Unajua kitu gani wanachofanyiwa wafungwa wa kule GUANTANAMO BAY tena wengine huwa hawana hata hatia...kwani wale huwa wana silaha mbona huwa wanafanyiwa mambo ya kutisha au kwa sababu huwa hayaonyeshwi na bbc au cnn. Tuiteje na huo kwamba ni uoga au.
hamna taifa la kiislamu linaweza kupingana na ISIS. Acha kuwa na akili za kushikiwa tofautisha taifa la Kiislamu na Taifa la Kiarabu. Shangaa kidogo hapo mpaka America anaenda kuomba msaada...!!
Makomandoo wa taifa jipya la KIISLAMU wameonekana katika picha mbalimbali wakiangamizi mabunda mengi sana ya sigara kwa kuyachoma moto, wamefanya kwa kuzingatia kwamba waislamu hawatakiwi kuvuta sigara kwani sigara ni haramu na uharamu wa sigara ni kwa kuwa sigara huwa inadhuru afya ya mvutaji...
Hiyo ni habari nzuri sana kijana...utasikia na kujionea maajabu mengi kwenye vita hiyo. Halafu kama unafuatilia mambo vizuri mataifa yote yanayounga mkono hiyo vita dhidi ya ISLAMIC STATE wanajiunga kwa jeshi la anga tu....kwa nini wanaogopa kwenda kupambana vita vya chini...?
acha kuleta siasa kwenye hivyo vitu dogo.....ukienda huko kimbwembwe utaishia kuwa na mbwembwe tu...hivyo vitu havitaki siasa wala utozi COMPUTER PROGRAMMER NDIO BABA LAO ni kuandika codes tu ndio mpango mzima....huko kwenye software engineering mambo mengine huwa ni theory tu za hapa na pale...
Angalia hapa tukio la kigaidi kwanza ni lazima lifanywe na MUISLAMU, pili tukio hili lazima liwe limefanyika maeneo ya waislamu mfano Tanga, Zanzibar, Mtwara nk. Kinyume chake tukio hilo linakuwa la ujambazi. hapa ndipo nchi yetu ilipofikishwa na WAMGHARIBI tena bila hata kujijua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.