Recent content by Short white

  1. S

    JamiiForums Tanzania Toyota ist - for sale

    Toyota ist 2003 model, silver color, 1,300cc engine, automatic, petrol, used in tanzania for one year .., in excellent condition. Price- negotiable. Contact 0757000400
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Dar!

    Surveyed Plot For Sale Located at Goba Mtambaa Kinondoni Municipality Block M, Plot No. 35 Area: 2,088 SQM Price: 25,000,000/- Contact: +255757000400
  3. S

    JamiiForums Tanzania A plot for sale

    A Surveyed Plot Location: Plot No 35, Block M, Goba Mtambaa, Kinondoni Municipality Total Area: 2,088 Square Metre Price: 25,000,000/- Contact: +255757000400
  4. S

    JamiiForums Tanzania Surveyed Plot For Sale

    Surveyed Plot For Sale Location: Goba Mtambaa, Block M, Plot No 35 Size: 2,088 Square metres Contact: 0757000400
  5. S

    JamiiForums Tanzania je kuna dawa za kuongeza nguvu za kike?

    MziziMkavu, naomba utuambie maana ya nguvu za kike. Plse
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri

    Duu, pole sana! Nenda hospital haraka sana watafanya vipimo zaidi. Usikubali kunywa dawa bila ya 'CULTURE AND SENSITIVITY' ya sample yako kufanyika.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    Fahamu kwamba njia zote za uzazi wa mpango zina faida na hasara. Njia zote zina hormones isipokuwa NATURAL METHOD (CALENDAR), COITUS INTERRUPTUS ( man, during intercourse withdraws his penis from a woman's vagina prior to ejaculation) na CONDOMS. Always remember, NATURAL METHOD, COITUS...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Madaktari msaada wenu jipu sehemu mbaya!

    Pole mkuu. Jipu linatokea endapo kunakuwa na local infection, . especially bacteria infection. Whereby, kinga ya mwili watapambana na hao wavamizi kwenye hiyo sehemu. Katika vita hiyo baadhi ya chembe hai zako around the battle field nazo zinakufa kutokana na silaha kali zinazotumika katika...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Inanisumbua

    poleni. Napenda kukuuliza ufafanue kinachotoka. Color? Amount? Smell? Je, unafahamu kitu inaitwa 'KATERERO'?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu mwanaume mwenye korodani moja anauwezo wa kuzalisha?

    Ndiyo anaweza kuzalisha endapo 'sperms' zipo normal in quantity and quality.
  11. S

    JamiiForums Tanzania For sale - bakery equipment

    Wana JF, tunauza vifaa vya bakery kama vinavyoonekana kwenye attachment. Kwa muhitaji tuwasiliane kwa namba 0658453737. karibuni​
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hesabu Darasa la 4

    Yaani wametuburuza mahakamani wakati sisi ndiyo tunawafundisha hesabu! Sasa subiria wataona umuhimu wetu. heasbu hii jibu ni 5455. Anayebisha atoke mbele kifua wazi. Marking scheme kama hapo chini. 5x5=55 5/5=1 Therefore 5x5-5/5+5x5= 55-1+55= 54+55=5455
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Ebola

    Ugonjwa wa Ebola waripotiwa kuingia kijiji cha Bulongo, Karagwe- Kagera. Mtoto 1 wa miaka 6 amegundulika kuwa na dalili zote za ugonjwa huo. Source Radio 1 Stereo.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Haki ya nani ogopa kitu inaitwa "KUFUMANIWA"

    Sijawahi kupata hiyo kasheshe. Nimekuwa mpenzi wa program ya DSTV inaitwa Zone Reality - Cheaters! Nimeona jinsi gani temperature nifikia lethal! Usiombee kufumania au kufumaniwa! Nomaaa
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto mkali huyuuuuuuuuuuuuuu!

    Ni kweli ndugu yangu kila mwanaume anatamani hii kitu! Kuwa mwangalifu my wife wako hasijue umeona mzigo huu!!
Back
Top Bottom