jaridotcom2
Member
- Jul 26, 2012
- 62
- 11
Jamani naomba kuuliza hvi mwanaume mwenye korodani moja anauwezo wa kuzalisha? ikiwa anatoa mbegu kwa kutumia korodani moja tu naomba msaada wenu?

Ndiyo anaweza kuzalisha endapo 'sperms' zipo normal in quantity and quality.