Sitafutii mtu kiwanja humu wengi ni magumashi ni wafanya reseach tu hawana lolote hata ukimwambia kuna heka moja ununio inauzwa mil10 atakwambia subiri next week then ndio imetoka! Wewe kama unataka kiwanja weka size unayotaka na bajeti yako kama kweli unahtaj lzm utakuwa na bajeti uliyopanga ozawize usijaze seva za jf.
Nahitaji serious na mshua angu ndio anaetaka so ninauhakika mkuu, nimeshindwa kutaja bajeti coz kunawengine wakiona figure za pay anaanza kuchanganyikiwa ata kukutafuta eneo ambalo hata haliendani kwa pesa uliyotaja, hivyo kama unacho au mtu analo eneo lililosokoni ni bora yeye akanipa bei na kipimo na eneo lililopo ili mimi nijipime 2nafanyaje.
location??

Kwa alie na kiwanja anipe bei yake na mita ngapi(ukubwa) na mahali kilipo. Ni PM ndio itakua best way ya mawasiliano yetu.
Kwa alie na kiwanja anipe bei yake na mita ngapi(ukubwa) na mahali kilipo. Ni PM ndio itakua best way ya mawasiliano yetu.
Sitafutii mtu kiwanja humu wengi ni magumashi ni wafanya reseach tu hawana lolote hata ukimwambia kuna heka moja ununio inauzwa mil10 atakwambia subiri next week then ndio imetoka! Wewe kama unataka kiwanja weka size unayotaka na bajeti yako kama kweli unahtaj lzm utakuwa na bajeti uliyopanga ozawize usijaze seva za jf.
Out of topic. King Kong III umeoa, unajua sura ya avatar yako imenifanya nikuzimikie, sili silali!!!