Madaktari msaada wenu jipu sehemu mbaya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari msaada wenu jipu sehemu mbaya!

Discussion in 'JF Doctor' started by G spanner, Aug 9, 2012.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Samahani kwanza naomba kujuzwa chanzo cha jipu kutokea? Na pili naomba kujuzwa nifanye nini jipu limenitoka kwenye lip ya mdomo ya chini imekuwa kitendawili kwangu sijui cha kufanya!
   
 2. S

  Short white Senior Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Pole mkuu. Jipu linatokea endapo kunakuwa na local infection, . especially bacteria infection. Whereby, kinga ya mwili watapambana na hao wavamizi kwenye hiyo sehemu. Katika vita hiyo baadhi ya chembe hai zako around the battle field nazo zinakufa kutokana na silaha kali zinazotumika katika mpambano huo. Kwahiyo pus ( usaha) ni mchanganyiko wa wavamizi (bacteria), cells za kinga ya mwili na cells around the battle fiield.
  Tiba yake: INCISION & DRAINAGE- Jipu linachanwa na kutoa usaha wote kwa kutumia/kutotumia ganzi depending na Ukubwa wa Jipu. Pia antibiotics na dawa za maumivu ni muhimu. Dressing pia ni muhimu hadi litakapokauka. I hope haya maelezo yatakusaidia. Pole sana
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Vp lisipotumbuliwa? Nini kinaweza kutokea?
   
Loading...