Recent content by Shommy

  1. S

    Dr. Slaa, tuombe radhi CCM kwa kuita chama choo

    Bado hata wiki...!!!! subiri leo tena haya mambo yanaendela tu..
  2. S

    Lowassa aamua kukimbia kuonesha kuwa yuko fiti

    Naomba siku moja akimbie akiwa anatoka kwenye helkopta na kwenda jukwaani hapo na hamia huko aliko..hahahahahaha.... vinginevyo hivyo ni vipande vya maigizo kati ya vipande vingine alivyocheza tangu alipoanza pilka pilka hizi. tukutane mwisho movie ikitoka actober 30 au november mwanzoni.
  3. S

    Sakata la Dr. Slaa: Wanasheria wamkabili Lissu

    Shikamoo cyber crime law sasa adabu ipo tuendeleeni na mada....
  4. S

    Online dating imejibu!!!!!Maisha yanaendelea(IMANI YENYE MATENDO)

    Mkuu tunaomba update baada mwaka tuone wanaendeleaje ili tujifunze kupitia wao...[QUOTE=Swts;7441007]Asalaaam Aleykum... Praise the Lord! Likija suala la kupata mwenzi wa maisha aisee haijalishi mtakutana wapi! as long as you have faith in God and you real know what you want, beleive it or...
  5. S

    Online dating imejibu!!!!!Maisha yanaendelea(IMANI YENYE MATENDO)

    Mdau ulivyokurupuka????????? au yalishakukuta? maana mleta mada kaeleza tofauti kabisa, mi na shaka na uelewa wako kwanza kabla ya mtoa mada, istoshe kufunga ndoa tu ni hatua nzuri sana, so kama watadumu au hawatadumu hilo ni swala lingine;
  6. S

    Kama ungepata nafasi hii

    Duh....! ama kweli ukistaajabu Mussa.... Nyau kwenye .? PLEASE tengua/ondoa kauli hii kabla cjapuliza kipenga..ahahahaha...
  7. S

    Wapenzi waliokutana jf na kubahatika kufunga ndoa /walioanza michakato ya ndoa

    Duh... Una ushahidi au ndo zenu waswahili ooh.. yule demu malaya ukiulizwa umemmega.? unaanza oooh c una mcheki mambo yake... Longolongo tupe ushahidi kiongozi..
  8. S

    Natafuta muchumba

    Aaah... Mutoto ya Pepe kale... Ndenge nini bandeko nangai.. nimeipenda hiyo Preta
  9. S

    Natafuta mume

    Huja2tulia wewe, maex tena..!au nataka wa2 wang'oane meno.? yeye mwenyewe anatakiwa aweke bayana ili atakae kuwa interested anajipima kama anafaa CV muhimu. :becky:
  10. S

    POSTINOR: Morning After pills...

    Kaka pole sana na mshukuru sana Mungu, ila bado nipo nipo sana sio solution tafuta na Mungu atakupa anae kufaa.
  11. S

    Ni kweli utamaduni huu upo??

    Sina uhakika na mila na desturi hizo ila kuna uhusiano wa jambo kama hilo, kuwa katika dini ya kiislamu endapo mume umauti utamfika ili hali uume ukiwa umesimama basi mke atawajibika kufanya tendo la ndoa na mumewe hadi uume huo utakapo sinyaa na logic hapo ni kuwa huenda kwa kufanya hivyo mbegu...
  12. S

    Kukaa mda mrefu bila kufanya mapenzi huweza kumfanya binti kupoteza fahamu?

    Mkuu upo juu kimtindo unaponda uzi sio wa mambo ya msingi halafu kiana una toa solution saluti kwako kiongozi....
  13. S

    Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

    Siasa ni kipaji na kama huna kipaji cha siasa matokeo yake ndo kama haya, Mbunge mzima unashindwa kutumia muda wako kwa manufaa ya Taifa lako una baki kutoa maneno ya kashfa na upuuzi mtupu hii ni aibu kwa Kigwangala na CCM kwa ujumla.
  14. S

    Kinehe a bhanu mulimo umu?

    Kumbe na wewe ni msukuma mbona unajua MASHIKOLO MAGENI, Tulibhinge chiniko wabheja sana nkoi
Back
Top Bottom