POSTINOR: Morning After pills...

POSTINOR: Morning After pills...

mh nakupongeza mkuu sio rahis kwa ulichokifany nadhan kuna malaika anakulinda co cri me cjui kama ningechomoka hapo

mmmhhhh! wacha kwanza nipate togwa bariiiidi! then ntakuja!
 
Mentor kweli wewe ni kiboko. Kulala kitanda kimoja na demu wako bila kumgegeda kwakuwa tu unalazimika kutumia zana si jambo jepesi kwahiyo unastahili pongezi.

Wanawake wa mjini hasa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu sijawahi kuwaamini kabisa katika mambo ya mahusiano. Yaani unamkuta demu anaonekana mpole na muungwana sana kwa vupimo vya macho lakini ukweli ni kwamba wana uwezo mkubwa sana wa kuhandle lundo la wanaume bila kustukiwa!

Mkuuu Mwita Maranya,
tangu siku hiyo mimi na wanafunzi ilikuwa mwiko. Kwanza wanacost nyingi balaa. Ila pia hata kumuamini mwanamke yeyote tu nayo imekuwa tatizo...na umri unasonga mkuu!


Hiyo morning after pills vimeandikwa hivo, alaf kweli vinakaa 2 .huyo dada nahisi alivizoea sana ndio mana havikufanya kazi mi naviamini paka basi sababu mi na mpenzi tunaenda kav tu tumeshajua afya zetu siku nyingine sitaki kumchosha kumwaga nje.

Ahaha mkeyamasai, mkuu hapo juu amesema kuna 98% chance ya kufanya kazi, kuwa mwangalifu msijekuwa katika hiyo 2%.
Hapo BOLD..aisee ni kweli inachosha aisee......duh!!!! #experience


halafu hivi vijidonge ni salama kwa afya za watumiaji kweli??

Mapi, labda tuwaulize madokta wa humu; MziziMkavu na Riwa

mh nakupongeza mkuu sio rahis kwa ulichokifany nadhan kuna malaika anakulinda co cri me cjui kama ningechomoka hapo

Mkuu alitu8 ni zaidi ya malaika nakuambia..sijui ilikuwaje nikagoma! Ila nadhani ilikuwa katika hofu ya magonjwa zaidi ya mimba..si unajua distance nayo.
 
Last edited by a moderator:
halafu hivi vijidonge ni salama kwa afya za watumiaji kweli??
Mkuu Mapi kuna Vidonge vya Hospitalini visivyo kuwa na madhara kwa Binadamu? Kila Vidonge Vina Madhara yake Makuu hebu soma hapa chini Madhara ya hivi Vidonge vya POSTINOR 2

Mkuuu Mwita Maranya,
tangu siku hiyo mimi na wanafunzi ilikuwa mwiko. Kwanza wanacost nyingi balaa. Ila pia hata kumuamini mwanamke yeyote tu nayo imekuwa tatizo...na umri unasonga mkuu!




Ahaha mkeyamasai, mkuu hapo juu amesema kuna 98% chance ya kufanya kazi, kuwa mwangalifu msijekuwa katika hiyo 2%.
Hapo BOLD..aisee ni kweli inachosha aisee......duh!!!! #experience




[FONT=century gothic [USER=38927]Mapi[/USER], labda tuwaulize madokta wa humu; MziziMkavu na Riwa[/FONT]



Mkuu alitu8 ni zaidi ya malaika nakuambia..sijui ilikuwaje nikagoma! Ila nadhani ilikuwa katika hofu ya magonjwa zaidi ya mimba..si unajua distance nayo.
Mkuu Mentor Angalia Madhara ya hivi vidonge


postinor 2 side effects




POSTINOR 2


postinor two have many side effects that can be dangerous. before I explain what side effects if taken postinor 2. I want to tell in advance what the contents of the medicine and all of postinor 2.

postinor 2 is a medication to prevent pregnancy if you shine the sperm into the ovary, whether intentional or not. it can prevent pregnancy 95% in the first 24 hours after intercourse. but it has side effects that are not good for women


Postinor-2 is used as a form of emergency contraception (more commonly known as a morning after pill). Postinor-2 contains 750 micrograms of the drug levonorgestrel, and also contains such ingredients as potato starch, gelatin, and talc. Postinor-2 is formulated to function in a manner similar to the female hormone progesterone, allowing for prevention of pregnancy if taken within a reasonable period of time. Generally, it is recommended that Postinor-2 be taken no later than three days after having unprotected sex. However, it has proven to be more effective in cases where the treatment was started closer to the time of the sexual encounter.


ACTIVE SUBSTANCE

0.75 levonorgestrel in each tablet. other ingredients : silica colloidal anhydrous, magnesium stearate, pottato starch, talc, maize starch, lactose monohydrate.

ACTION OF THE POSTINOR 2

levenorgestrel is a progestogen inhibiting the implanttation of the ovum into the endometrium, stimulating the mobility of the oviduct and increasing the viscosity of the cervical mucus.
when taken in the middle of the menstrual cycle, the preparation may inhibit ovulation.


INDICATION OF POSTINOR 2

postinor 2 tablet is an emergency contraceptive preparation that can prevent conception if it taken within 72 hours following unprotected intercose.

the administration of postinor 2 as an emergency contraceptive is recommended in the following cases.


  • if no contraceptive measure of any kind was taken during intercose
  • if the applied contraceptive measure cannot be considered reliable
- tear or slip or inapproprite use of condom
- disposition or tear or premature removel of diaphragm or pressary
- unsuccessfully interrupted coitus
- erroneous calculation of fertile days in case of periodic abstinence
- in case of IUD loss or removal
- omitting the ingestion of 3 or more hormonal contraceptive tablets to be taken regularly


CONTTRAINDICATION OF POSTINOR 2



except for existing pregnancy, there are no other absolute medical contraindication for the administration of postinor 2 tablet.

in case of vaginal bleeding of unknown origin, hepatic and biliary disease, history of gestational jaundice, breast, ovarian or uterine carcinoma, it should be administered after careful consideration of the risk/ benefit ratio ( unwanted pregnancy/ abortion)


DOSAGE OF POSTINOR 2

one postinor 2 tablet should be ingested within 72 hours following intercourse and another one 12 hours after taking the first tablet.

according to data of clinical studies, it is advisable to take the first tablet within 48 hours ( but not later than 72 hours) after intercourse. since the efficacy of the preparation decreases if more than 48 hours elapse between intercourse and drug ingestion.

postinor 2 tablet may be used at any time within the menstrual cycle.

if vomitting occurs within 2 hours after drug intake. the dose must be repeated.


SIDE EFFECTS OF POSTTINOR 2

nausea : it occurs in approximately 25% of users

vomiting : in 5%

bleeding disturbances : in some cases, 2-3 days following tablet ingestion breakthrough or withdrawal bleeding may occur that generally ceases spontaneously. in the majority of cases the next period starts as expected or somewhat earlier. if the period is more than 7 days late it is recommended to perform a pregnancy test.

in case of prolonged or heavy bleeding, gynaecological examinationis advised.

other side effects : breast tenderness, headache, dizziness, fatigue.


DRUG INTERACTIONS

concomitant use of ampicillin, rifampicin, chloramphenicol, neomycin, sulphonamides,
tetracyclines, barbiturattes and phenylbutazone may reduse the contraceptive effects.

WARNING

CANNOT TAKE THE DRUG WHEN THIS CONDITION. MAY MAKE A BAD SIDE EFFECTS

use with utmost care in case of asthma, heart failure, hypertension, migraine, epilepsy, renal impairment, diabetes mellitus, hyperlipidaemia, depression, and in case of existing or former thrombophlebitis, thromboembolic disease or stroke.

the preparation may be used exclusively in the above mentioned emergency cases. it is not appropriate for regular use.

STORAGE OF POSTINOR 2

protected from humidity at temperature between 15-30*c

PACKAGE

2 tablets in a blister in an inner carton. 5 inner carton in a box.
postinor 2 side effects
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mkuu MziziMkavu. Hii knowledge hata the self proclaimed dr. watu8 sidhani kama alikuwa akiifahamu..just wow! thanks sana mkuu.

Hahaha kila dawa ina madhara yake mkuu...nyingine ni kama ukikosea kutumia au matumizi ya muda mrefu.

Wachina hutumia sana hizi dawa kwa ajili ya birth control, kutokana na ile sera yao ya mtoto mmoja kwa familia.

Hahah ila hongera kwa machale kukucheza, leo hii ungelikuwa ni baba wa mtoto wa Kabezi.
 
Vitu vingi sana nimejifunza katika huu uzi Thanks mkuu Mentor
 
Last edited by a moderator:
Mwenzangu hakujua...Ila nimepatwa wasiwasi jinsi gani nilikuwa niingie mkenge!! Ungekuta mdogo wako sasa hivi namlelea Kabezi mwanaye. Hata sikumuuliza kama Mshikaji anajua ana mtoto!




Mentor nipo kukusikiliza...nikiwa offline kuna mai waifu to be mimisa (niliyeidhinishiwa na neggirl) atakujibu.



@kiwa, karibu tena...



@maliwato, thanks, nahisi aliweka vipakiti vingi kwenye kiboksi kimoja.

Cases za kufeli hizi contraceptive methods nimeshazisikia nyingi...nadhani na hii ni katika hizo 2% though I must acknowledge ulichokisema, "
vinafanya kazi asilimia 98 ikiwa umemeza kwa muda unaotakiwa." Na mwenye masikio na asikie.



@himidini hadi mimi umenifumba mkuu!



Soma ki-episode mkuu hekimatele, u might learn something.

[SIZE=3 [B]Mimi[/B]49 na mimisa hebu kujeni huku chini mseme neno...[/SIZE]

sawa mkuu sana
 
Yule ni Kabezi au YAHAYA?

Hebu tumuulize KakaKiiza atakuwa anafahamy vyema.


Ubarikiwe mleta uzi

Amina...na wewe pia!

Vitu vingi sana nimejifunza katika huu uzi Thanks mkuu Mentor

Zeddicus share with us ulivyojifunza if you don't mind tafadhali...

Mi huwa napenda story zako

Am humbled mkuu...thanks!

Hizo zilisha feli mara mbili kwa demu niliyekuwa naye matokeo yake sitamani hata kuyakumbuka.......cheki hii link Banned Commercial - Condoms - YouTube

Kwahiyo mkuu Real Deal unaitwa baba nani siku hizi...!??
 
Last edited by a moderator:
Itakua alikosea mda wa kumeza huyo mana wengi ninawajua hua watumiaji wenzangu na hawajawah kunasa
Hii kitu imenifanya nisiwaamini kabisa wanawake na dawa zao hizo, kitu cha uhakika ni raba tuu, na kama demu ana kuja kwangu lazima aje nazo mwenyewe. Kavu hata iwe tamu kiasi gani ni ng'oooo
 
werevu hujifunza kwa makosa ya wengine lkn wajinga hujifunza kwa makosa yao wenyewe.UNA HADITHI NZURI!!!!'LETE NYINGINE.
 
Kaka pole sana na mshukuru sana Mungu, ila bado nipo nipo sana sio solution tafuta na Mungu atakupa anae kufaa.
 
Kaka pole sana na mshukuru sana Mungu, ila bado nipo nipo sana sio solution tafuta na Mungu atakupa anae kufaa.

Hata nikitaka kuoa we nambie ntamuoa nani...
 
stori nzuri inavutia ila mentor kuna fix fix kidogo...........kwa uchache 2009/2010 club maisha ilikuwa hamna dodoma, imefunguliwa 2011.............
vidonge vya postnor kwenye paketi vikaa viwili tu sasa wewe umeandika ukakuta kwenye paketi vidonge vinne vimetumika kinachomaanisha bado kulikuwa na vingine.
 
asakuta same wacha hizo...
Ndo maana nkataja club zote.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom