Recent content by Shomari

  1. Shomari

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Kenyatta akiwa kwenye foleni ya barabara wakati akiendesha gari jijini Nairobi

    Na nyinyi mmeamini kweli huyo mwanamke ni mpitanjia. Kenyata anafanya media circus sababu ya uchaguzi, mengine ni sanaa tu
  2. Shomari

    JamiiForums Tanzania Hii nimeipenda sana

    kuna mtu naona anataka kufungiwa muziki
  3. Shomari

    JamiiForums Tanzania Wazungu huwa wanajisifu wamefanya / wameleta Maendeleo gani katika Jamii zao ila Waswahili / Watanzania tunajisifu kusoma Vitabu

    Wabongo kweli ni mazwazwa! sasa kitu gani hapo kisichoeleweka alichokiongea mtoa mada? Mimi nilipokuwa shule ya msingi, mwalimu wangu aliwahi kusema "Tunatafuta elimu ili baadaye iweze kutusaidia kuishi na kutumia mazingira yanayotuzunguka kujipatia maendeleo yetu binafsi na jamii kwa ujumla"...
  4. Shomari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za wanasheria wa kike ziko vipi?

    Asante kwa kutufumbua macho mkuu Kashishi
  5. Shomari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za wanasheria wa kike ziko vipi?

    Hahahaaaa! Hatari mkuu. Nitafikisha ujumbe
  6. Shomari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za wanasheria wa kike ziko vipi?

    Kwani wewe yanakuhusu nini?
  7. Shomari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za wanasheria wa kike ziko vipi?

    Ndugu zangu. Kwanza Mungu awabariki. Kuna ndugu yangu ameanza mahusiano na binti mwanasheria miezi kadhaa iliyopita. Kuna tetesi kwamba hawa viumbe huwa ni wakorofi na huwa hawataki kushindwa. Kuna mtu anayeweza kuthibitisha hili? Na tabia gani nyingine wanazo? Jamaa yangu anataka kujua.
  8. Shomari

  9. Shomari

    JamiiForums Tanzania ‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

    Maxence Melo naona mmeamua kujiteka wenyewe :oops:
  10. Shomari

    JamiiForums Tanzania Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania yakamatwa Ugiriki ikiwa na Silaha, Vifaa vya Milipuko

    Una maana gani unaposema taifa dogo? Naomba uniambie taifa kubwa lina vigezo gani?
  11. Shomari

    JamiiForums Tanzania Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania yakamatwa Ugiriki ikiwa na Silaha, Vifaa vya Milipuko

    Siyo kukemea tu! Hatua kali zinapaswa kuchukuliwa
  12. Shomari

    JamiiForums Tanzania Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania yakamatwa Ugiriki ikiwa na Silaha, Vifaa vya Milipuko

    Meli sidhani kama ina usajili wa Tanzania. Kama haina, basi ni kikundi cha watu wachache wameamua kuichafua Tanzania. Haiwezekani ndani ya muda mchache tu kunakuwa na mlolongo wa matukio ya namna hii. Najiuliza, Je tunaelekea kwenye kuwekewa vikwazo? nani yupo nyuma ya hili?
  13. Shomari

    JamiiForums Tanzania Napenda kufahamu mmiliki wa hiki kituo kipya cha Radio (E-FM)

    Je? Mnafahamu jina ENL? Huyo ndiye mmiliki wa Efm
Back
Top Bottom