Recent content by Shoma1

  1. Shoma1

    JamiiForums Tanzania Wapi nitanunua oil za electonic cigarettes

    Ndiyo
  2. Shoma1

    JamiiForums Tanzania Wapi nitanunua oil za electonic cigarettes

    Ninayo kama hiyo sasa nimeishiwa oil maana ni za kutumia oil na charge nimetafuta sana maduka mmmmmmmmm
  3. Shoma1

    JamiiForums Tanzania Wapi nitanunua oil za electonic cigarettes

  4. Shoma1

    JamiiForums Tanzania Wapi nitanunua oil za electonic cigarettes

    Habari zenu naomba msaada nielekezwe nitawezaje Kupata mmafuta ya electonic cigarettes in Dar ..msaada please
  5. Shoma1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba Mikocheni

    Ndugu yangu Kwani lazima uchangie??niongezee wewe maana huu ndio uwezo wangu
  6. Shoma1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba Mikocheni

    Tayar
  7. Shoma1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba Mikocheni

    Yoyote a au b
  8. Shoma1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba Mikocheni

    Habarini wadau nahitaji nyumba maeneo ya Mikocheni chumba na sebule jiko kwa bei ya laki na nusu naombeni Msaada anayejua
  9. Shoma1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba Mikocheni

    Habarini wadau nahitaji nyumba maeneo ya Mikocheni chumba na sebule jiko kwa bei ya laki na nusu naombeni Msaada anayejua
  10. Shoma1

    JamiiForums Tanzania Nina eneo maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mjasiriamali tuwekeze!

    Vipi kuhusu kupangisha eneo
  11. Shoma1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa ufugaji kuku na kutengeneza mabanda yake

    Habari Wadau nilikua naomba kwa anayejua hints za ufugaji wa kuku nahitaji kununua vifaranga Vidogo vya broiler ndio nimesikia vinakua wiki 3 au 4 sasa shida yangu ni kwamba mabanda hayo hayo naweza nikayatumia hata kuku wakikua au kuna tofauti ya mabanda inabidi nifanye na gharama za ujenzi wa...
  12. Shoma1

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kupata wapi bidhaa kwa ajili ya Min Supermarket?

    Nafatilia
  13. Shoma1

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kupata wapi bidhaa kwa ajili ya Min Supermarket?

    Asanteni kwa ushauri wenu Mbarikiwe
  14. Shoma1

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kupata wapi bidhaa kwa ajili ya Min Supermarket?

    Habarini wana JF, Nina mpango wa kufungua min supermarket hapa Dar sasa nilikuwa naomba kuuliza wapi naweza kwenda kupata bidhaa ambazo wengi wenye supermarkets wanaenda kuchukua na inakuwaje kuhusu expire date vitu huwa wanabadilisha? Ushauri jamani naombeni maana nimejaribu kumuuliza mtu...
  15. Shoma1

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Wekeza kwenye saluni unafungua ya kike na kiume sehemu moja zinakuwa ni classic saloon zenye wadhifa ..mgahawa wa chakula unalipa pia it just depend eneo na ulivobuni eneo lako watu siku hizi wanapenda kula maeneo hata kama sehemu padogo lakini pavutie hata kwenye kiselfie
Back
Top Bottom