Recent content by shokoshugi

  1. shokoshugi

    JamiiForums Tanzania Mama tukubali kawa mzigo kwa Tanzania!

    Tumpinge kwanguvu zote huyu adui wa Tanganyika
  2. shokoshugi

    JamiiForums Tanzania Kile kikundi cha chadema cha utekaji kwa Mujibu wa katibu mkuu mstaff Dr. Slaa kilipotelea wapi? Kama siyo hicho kinachoteka watu mpaka sasa

    Tuna polisi wa hovyo kama wameshindwa kukinasa hicho kikundi
  3. shokoshugi

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za umeme za RAVOX:suluhisho la Ghalama za mafuta kwa boda boda

    Ghalama❌️ Gharama✅️
  4. shokoshugi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande, Alidhamiria Ripoti Yake Iwe Public. Kwa Vile Rais ni Wetu, Ripoti Yetu!, Kwa Heshma na Unyenyekevu Tumuombe Rais Samia Ripoti Yetu? Au...

    Ndugu Pascal Mayalla ukizitoa kofia zako nyingine kama mwanasheria na muandishi wa habari . Unafikiri kwa ombi lako hili utakua salama ukiwa na kofia ya kijani?
  5. shokoshugi

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Fortunatus Buyobe na Sakata la kutekwa Mshabaha Nairobi kwa mujibu wa Hilda Newton

    Ila kama TISS inaajiri vilaza kama kina Buyobe kazi ipo . Kumnyakua mtu mpo mji mmoja namba unayo unapitia njia za kizamani kama hizo . Unaweza kuhonga zaidi ya 200m tsh kwa polisi unashindwa kununua vitendea kazi huko black market ukanyakua watu wako kimya kimya
  6. shokoshugi

    JamiiForums Tanzania Tunawakumbuka Mawaziri Wakuu kwa makubwa ambavyo walitufanyia katika Taifa letu ila kwa kipindi cha Waziri Mkuu Joseph Sinde Warioba sijui tutakumbuka

    Namba 9, 11, 13 na 14 wakimsema vibaya mama yako malkia Yezebeli najua utakuja kuedit uzi
  7. shokoshugi

    JamiiForums Tanzania Group sex inaongezeka kwa kasi hapa Bongo

    Ni biashara nzuri sana kwa wenye nyumba . Hukosi kuanzia 1m -2m kwa mwezi kwa nyumba ambayo ungemkodishia mtu kwa 300k mpaka 500k kwa mwezi plus nyumba haichakai kabisa. Ukiwa na namba za malaya wale wenye majina majina nyumba inakua full booked weekend zote hata miezi 6 mbele
  8. shokoshugi

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi za NIDA Kisongo (Arusha) wamegoma kunihudumia kisa nimevaa suruali, wakati watumishi wao nao wamevaa

    Huyu dada kilichomponza ni chura lake , adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake. Hongera
  9. shokoshugi

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Kuna mpango wa kumkamata Heche na kumfungulia kesi ya uhaini

    Hivi Lissu , Heche na the likes wakikiri kua na hatia huyu mbwa atakua na kifua kikubwa cha kuwanyonga kweli maana wanachofanya ni delaying tactics
  10. shokoshugi

    JamiiForums Tanzania Joseph Sinde Warioba alipewa kalamu ya Katiba lakini aliandika hisia zake

    Ni aibu kwa Sasa Mimi/baadhi ya wana CCM kusimama mbele ya watu wenye utimamu wa akili na kujitanabaisha kua ni mwanachama wa chama hiki. Chama kimetekwa na WAPUMBAVU na kimesimika UPUMBAVU kama nembo kuu ya utambulisho wa Chama . Waimba mapambio ya kusifu ndio umekua mtaji wa viongozi MAJUHA...
  11. shokoshugi

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuandaa chakula bora murua kwa jina la kichuri

    Rekebisha uzi Kichuri sio chakula ni appetizer
Back
Top Bottom