N WEWE NI KILAZA TU, MPANGO HUO UMEKUWEPO SIKU NYINGI TU NI MAAMUZI TU, KAMA NI HELA IPO YA KUTOSHA HATA TUME YA UCHAGUZI WALIRUDISHA CHANGE AMBAYO BADO HAIJAFANYA KAZI NA MAENEO MENGINE, PIA BADO WANAWEZA KUTUMIA HELA NA IKALIPWA NA BUDGET IJAYO, KUPANGA NI KUCHAGUA.
AMESEMA WAZIRI MKUU PEKE YAKE NYUMBA YAKE ITAKAMILIKA SEPTEMBER ILI AHAMIE, HALAFU WENGINE WATAFUATA... JPM YEYE KASEMA KWA KIPINDI CHA MIAKA 4 NA MIEZI MI4 ILIYOBAKIA AYAJITAHIDI SERIKALI IWE IMEHAMIA DODOMA....muwe mnasikiliza vizuri hotuba na matamko.
UUZWAJI WA NYUMBA ILIKUA NI SERA YA WAKATI HUO, KWAHIYO ULITAKAJE? NA HIZO PESA ALIPELEKA WAPI ? JE ALIFUNGUA AKAUNT NJE YA NCHI AU? JE ALIPELEKA CHATO, AU ZIMEFANYA MAMBO KWA MAENDELEO YA NCHI YAKE?
Ni kweli ndugu watanzania hali si shwari kwenye utalii kutokana na ongezeko la vat 18%, itakayoanza kutumika leo. Kimsingi wakala wa utalii hawajakataa kulipa kodi hiyo. Ieleweke kwamba wageni wengi hufanya booking miaka/mwaka mmoa kabla na wanalipa gharama zote halafu wao wanasubiri kuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.