Unaelewa nini juu ya kauli hii ya Mzee Makamba

Ukaridayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
518
Reaction score
484
Shughuli ya Mashujaa ndiyo hiyo inaendelea kule Dodoma, chini ya Amiri jeshi mkuu JPM toka awe Mwenyekiti ni shughuli yake ya Kwanza....

Hebu tujadili hili la Makamba alilosema kule Dodoma

"Kinachowekwa Bank siyo PESA tu hata uwongo unawekwa AKIBA ili KESHO upate cha kuongopa"...

Karibu tujadili hii kauli ni pana, wewe unaelewa nini.
 
CHA MSINGI KUACHANA NA UMBEA!
 
Maana yake na yeye pia ni muongo sana lakini huwa anaweka akiba ya uongo wa kuendelea kutudanganya wananchi ili asiishiwe na uongo
 
Back
Top Bottom