Mahanga afunguka ukandamizaji wa demokrasia Awamu ya Tano

Sio millioni sita tu.
Zilikuwa zaidi ya kura milioni 10 basi tu uchakachuaji uliofanya na hii tume ya uchaguzi.
Wapunzani wote wasipoungana na kuruhusu hii tume ya uchaguzi iendelee kamwe sito piga kura maana itakuwa ni kujipotezea muda tu.
 
Eti mtu anahangaika kuandaa press conference afu anaongea kitu kama hiki...nadhani hizi ni dalili za kwanza za "post traumatic stress disorders" zilizosababishwa na kichapo cha october 2015
 
huyo mahanga simtaki hata kumsikia ila kura zili.................. malizia mwenyewe
 
Kama hakuna demokrasia amewezaje kutoa maoni yake? Nchi hii kuna watu hawana huruma kabisa, wanatumia umaskini wa Watanzania kama mtaji wa kujijenga kisiasa.
 
katika wana siasa makanjanja huyu ni mwalimu wao alishachakachua kura kule segerea kheeeeeeee na kutukatia umeme na kutoweka na masanduku ya kura:eek::eek::eek::eek::eek::cool::cool::cool:

ila saa hii hata afya imegogoroka sijui anahangaika nini
 
Ukijifanya hujui ukweli ipo siku utajiona mjinga kwa kuamini uongo kuwa ukweli, siku shetani alipomdanganya Eva juu ya kula tunda lwalilokuwa wamekatazwa na Muumba Mbingu na Nchi alijiona hatajulikana uongo wake lakini siku ilipofika aliwekwa peupe juu ya uongo wake, na leo hii ametupwa hana nguvu wala uwezo wa kuizuia mauti badala yake yupo kuzimu....ndivyo ilivyo kwa watu humu wanajisifia na kujifanya hawaujui ukweli wa matokeo halisi ya kura za uchaguzi mkuu mwaka jana Oktoba 2015!!!! siku inakuja Mungu atawaumbua hao wenye kujifanya na wale wanaoaminisha watu uongo kuwa ukweli mtaumbuliwa peupeee nakubaki na aibu wa milele kama alivyo shetani amebaki kuwa na aibu ya milele, Yesu Kristo amesimama mpaka na hata milele kuwa Mkweli!! ndio maana leo na hata milele kila kiumbe kitapiga goti kwa Yesu!! wapinzani watapigiwa magoti muda mfupi ujao na wanaojisifu kuwa wapo juu watashushwa chini na kuwa watumwa wa milele!! ndo mwisho huu umefika.....maneno haya yatasimama juu ya kila mtu mimi nasema......''
 
Utasubiri mpaka kifo chako lakini fisadi papq hataingia ikulu....Huyo Mungu wenu mliyeanza naye na kumaliza naye mbona kawasaliti? Mmebaki na Mungu wa Nigeria kwenye boko haram?
 
Back
Top Bottom