Recent content by shogholo

  1. S

    Nahitaji mpenz

    weka namba ya simu, utapata unaemtaka
  2. S

    GE2010 Kutoka kampeni za mwisho za CCM Jangwani

    Sasa sijui mafesti ledy ndio tunaowachagua ama ni Rais? acha kuleta ujuha!
  3. S

    Aliyesambaza meseji za kumkashifu Slaa ni....

    My question is WHO SENT THOSE E=MAILS? This is the answer. But we already have this clue: IP (Internet Protocol) evidence suggests that Shamte's email account is hosted by the same server that hosts JK's 2010 campaign web site
  4. S

    CCM wapoka sera ya Elimu ya Chadema?

    Tumekusoma Mkuu
  5. S

    Mdahalo ITV Bila Profesa Lipumba Na Wengine, Kwanini?

    Ni kweli mkuu, wagombea wasiojiamini wanataka wapate majibu kabla, lazima tubadilike hatuwezi kushabikia watumia majuche watuongoze! wataletaje maendeleo wakati hawana uwezo wa kufikiri? watanzania tubadilikeni! mimi nawapongeza walioandaa mdahalo/mahojiano kwani tunaweza kuona nani anauwezo na...
  6. S

    Ushuru wa biashara!

    Wandugu wa JF, naombeni mnisaidie kwa wale wenye uzoefu au utaalam wa biashara! Mimi nina mtaji kidogo tu kiasi cha (millioni kumi tu), ila nimeshindwa kuanza biashara kwani kila ninapopiga mahesabu naona kama mtaji wangu ni mdogo, hivyo naomba msaada wa mawazo nifanye biashara gani ambayo...
  7. S

    Career Opportunities in Tanzania – Johannesburg Interviews – APPLY NOW

    kama za kibaguzi ni bora wasiziweke kwenye mtandao
Back
Top Bottom