Recent content by shocks

  1. S

    JamiiForums Tanzania MWIMBAJI LINAH SANGA ; Sio Kweli Nilibakwa Baada Ya Kulewa

    Sure kiongozi!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msanii wa kizazi kipya asemekana kufanyiwa kitu mbaya

    Yeye ndo anajua alichofanyiwa na maumivu aliyoyapata yy ndo anajua
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

    Hiyo no dalili ya uchafu Anna lolote alafu pia wengi wao wanaota ndevu kwa kula sana Maya ya kuku was kisasa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania's Nando has been Disqualified from the Big Brother House

    Me huyo dogo kaniboa sana yan analeta mambo ya uswahili katika show kubwa kama ile ametuaibisha sana watanzania
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kchwa kuuma upande mmoja

    Yap jaribu kunywa Maji mengi na kupata hewa ya kutosha bila kusahau kupumzika mda mwingi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kupokea simu ya mpenzi wako?

    Kiukweli me niliporeka sana siku moja nimepanga appointment name mteja Wang unafika muda nampigia anapokea mwanamke nikahis nimekosea namba nikakata nikampigia tena akapokea mwanamke nikamwambia naomba kuongea name mwenye cm akiniambia kuwa cm ni kwake nulamuuliza tene ndo akampa cm jamaa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kupokea simu ya mpenzi wako?

    So sahihi kabisa kupokea cm ya mpenzi wako alafu siku is mapenzi yanafurugwa sana kwa kufuatilia fuatilia cm
Back
Top Bottom