Recent content by shizukan

  1. shizukan

    Pinda atikiswa Mtwara; Akutana na jinamizi la vigogo wa serikali kukataliwa

    Huelewi kwa kuwa ni mjinga, full stop!
  2. shizukan

    Pinda atikiswa Mtwara; Akutana na jinamizi la vigogo wa serikali kukataliwa

    Kwa hiyo wewe Kinana na Nape wakifikiri wewe huna haja ya kufikiri? Jibu hoja kwa hoja na sio kurusha matusi. Wewe ungekuwa na akili ungetumia ubongo wako kufikiri na sio wa Nape. Mimi sijaona baya alilosema hapo na hata huyo Nape na Kinana sidhani kama wanatoka nje ya haya. Kusema wasikilizwe...
  3. shizukan

    Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    Aliyekosa kazi ni yule kilaza aliyeleta ulafi wa kulazimisha kula msibani as if nyumbani kwake hamna msosi. Kama asingeeenda kumshitaki mchungaji kachinja ng'ombe, yasingetolewa matamko
  4. shizukan

    Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    Yaani wewe ndio hasa kilaza, kwa hiyo wewe unaweza kuwalazimisha au kuwakata watu kwenda kanisani?
  5. shizukan

    Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    Vita ya nini? Kwani ng'ombe nao ni vita?
  6. shizukan

    Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    Mchelea mwana kulia, hulia mwenyewe. Hawa watu waliendekezwa sana sasa ikafikia sehemu wameona ni haki yao na kwamba wao wana haki saaana kuliko watu wengine. Kitendo cha kumfunga Mchungaji eti kachinja ng'ombe ndio ujinga uliotufikisha hapa. Kulikuwa na hoja gani ya msingi? Kama mtu hujala...
  7. shizukan

    Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    Who cares? Kwani Lutheran na Katoliki ndio peke yao wana haki ya kufungua hayo mashtaka? Umeshasema Marekani na Uingereza, mbona huko Middle East kuna kiongozi wenu alioa mtoto, je naye awe kigezo cha utamaduni wenu? Tumia akili mbulula wewe. Kwanza ni ulafi wa kupenda kula ndio umetufikisha...
  8. shizukan

    Wanaume Wakristo tuwe wa mbele kukataa UNAFIKI

    Ukimkuta mkeo anajiuza kwenye danguro, utauliza uhalali wa ndoa yako na mkeo au wa machangudoa wengine? Utathubutu kuwaambia wale wengine wamekosea ikiwa huna hakika kama kuna wanayemkosea? Wewe una vichwa vingapi mkuu?
  9. shizukan

    Wanaume Wakristo tuwe wa mbele kukataa UNAFIKI

    We utakuwa Mnyamwezi tu sio bure. Soma mada vizuri acha kukurupuka kama mama muuza pombe. Amesema hata yeye ni kosa konda kutotoa tiketi ila si sababu ya kudhulumu wengine pasipo haki. Sasa wewe umechoropoka ulikokuwa unajadili ngono umeingia kwa kutanguliza makalio kwani ndio yenye akili...
  10. shizukan

    Wanaume Wakristo tuwe wa mbele kukataa UNAFIKI

    Hili jukwaa watu wamezoea kuongea ngono na ufuska wao kiasi wanadhani ni dhambi mtu kukumbushwa anayopaswa kufanya kwa mujibu wa dini yake. Sasa kwa nini wanapiga kelele na si kuongezea hayo makaripio ya dini zao? Ingekuwa mada za kuingiliana kimwili ungeona jinsi wangefurahi mkuu Kama yupo...
  11. shizukan

    Wanaume Wakristo tuwe wa mbele kukataa UNAFIKI

    Wewe ni Mkatoliki? Wewe huyu huyu uliyetoka kuikandia Injili? Ungeniambia we ni kiruka njia ningekuelewa lkn sio Mkatoliki labda haya madhehebu mengine ya vichochoroni. Mkatoliki hawezi kuicha Biblia yake kwa kuwa mtu mmoja kaandika juu ya Biblia neno Novel. Acha unafiki wa kujiita Mkatoliki...
  12. shizukan

    Sakata la gesi Mtwara: Kauli ya Profesa Muhongo

    Waone matunda ya gesi ikiwa ardhini?
  13. shizukan

    Sakata la gesi Mtwara: Kauli ya Profesa Muhongo

    Mwita Maranya, yoote niliyoyaweka hapo hukuyaona bali uliona kipande hiki tu cha kukupatia ushindi wa UBISHI. Sikumaanisha kuwa ni gesi ndio hugeuzwa kuwa cement, mimi si mtaalamu wa cement na wala sijatumwa na mtu kama unavyosema lkn sipendi unafiki kama uliotumia kuruka mada zoote na kuja hapa...
  14. shizukan

    Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

    Hizo bold ni kosa la mamaako kukuacha ulelewe mtaani. Kwa akili yako unaona World Cup ni mashindano dume kwa kuwa hukuona World Cup in those days. World Cup itabebwa kwa juhudi ya timu sio Messi. Huyo Pele hakuenda peke yake kucheza, alicheza na kina Garincha. Wewe utaumwa sana. Fuata hii link...
Back
Top Bottom