Recent content by Shixi889

  1. Shixi889

    JamiiForums Usiku wa manane

    2:55[emoji15][emoji15][emoji15]
  2. Shixi889

    Hivi kuna Mortuary Attendant ambaye Akili zake kweli ziko sawa sawa 100%?

    Kuna mmoja yupo hosptali ya Rufaa katika jiji moja ivi aisee yule kaka ni handsome mnooo!!was thinking like akikutana na mwanamke anamwambia ukweli anafanya kazi wapi??🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
  3. Shixi889

    Wanaume bhana mna mambo

    kabisa yani kweli mdada unaenda enda tu hujui hata mzunguko wako kweli???labda kama na yeye alikua anacheza patapotea.
  4. Shixi889

    Hollywood na kuutangaza ushoga wahamia kwa kasi katika cartoon za watoto

    The moment nilipogundua inatangaza mambo ya ajabu nilihakikisha mtoto wangu haiangalii mpaka na yeye amezoea ikianza tu anasema hii baya toa soo siiangalii kabisa.
  5. Shixi889

    Haya hapa masharti yalioifanya Serikali isite kuendelea na mradi wa bandari ya Bagamoyo

    Eti imekaa kiudakudaku kama hawana uhakika vile!!!!ni vizuri wanavyo advocate ujumbe kuwafikia wananchi wengi ila watumie lugha rasmi..!!
  6. Shixi889

    Naomba kujuzwa bei za pete ya uchumba za madini mbalimbali

    Hiyo sasa ni ya bei???imagine mtu anavishwa pete ya white gold ina jiwe la kutosha la Tanzanite na vinakshi vya diamond!!kuna watu wamevishwa bei za Passo sembuse hiyo...!!
  7. Shixi889

    Ni kipi sahihi kwa mtoto wa miezi 3 ambaye mama yake anaenda kazini asubuhi na kurudi saa sita mchana?

    Kwa wakati huu kuna njia nyingi sana tena nzuri za kuhifadhi maziwa ya mama kwa kuhakikisha mama anakamua maziwa yake kwa kifaa maalumu(maana kwa mkono anaweza kuchoka) na kisha kuyahifadhi katika chupa maalumu za maziwa ya mtoto na kuyaweka kwenye fridge hasa freezer ili mtoto apewe mama...
  8. Shixi889

    Hitaji kubwa la mwanaume ndoani ni kuheshimiwa hata pale anapokuwa amekosea

    Ndugu kila siku wewe ufanyage tu B na C mwenzio yeye afanye B tu kila siku nenda rudi?????lazima utachoka tuu sie ni binadamu na tuna roho na nyama mbaya zaidi maumivu utafika muda utakua NUMB huumii tena ikifika hapa trust me hutakumbuka kufanya B wala cha C utafanya D na kuendelea...!!!
  9. Shixi889

    Hitaji kubwa la mwanaume ndoani ni kuheshimiwa hata pale anapokuwa amekosea

    Yaani mume akukosee zaidi y mara 5 na bado heshima iwepo??? Huu sasa utumwa jamani na kwa staili hii mfumo dume hautakaa uishe.
  10. Shixi889

    Ukweli mchungu kuhusiana na mradi wa Stiegler's Gorge

    German energy secretary backs forest clearance to build coal mine Thomas Bareiß says use of polluting fuel at RWE plant is needed to keep the lights on Adam Vaughan @adamvaughan_uk Mon 1 Oct 2018 11.45 EDT Last modified on Tue 2 Oct 2018 07.01 EDT This article is over 3 months old...
  11. Shixi889

    European Court of Human Rights says that homosexual marriage is not a human right

    Kwa wale waliotaka hukumu kamili tuanzie hapa kwanza...!!
Back
Top Bottom