Recent content by Shiwawa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hii Kali Kabisa!!!!

    Hahahahaha
  2. S

    JamiiForums Tanzania Chupi

    huwezi kijuwa kitu hadi ukijaribu nenda kafanye majaribio utapata jibu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mama mkwee..!

    Jamaa kakosea baada ya ku2ma sms kwa hawara akatuma kwa mama mkwe ilikuwa inasema: MIMI NAKUPENDA NIMEVUMILIA NIMESHNDWA NIMEONA NIKWAMBIE YA MOYONI NAOMBA TUWE WAPENZ MKE WANGU HAWEZ KUJUA: wakat anatafakar atafanyaje likaja jibu kutoka kwa mama mkwe: NAMI NAKUPENDA UNGECHELEWA NINGE KWAMBIA...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hapana chezea... Hindu ww...

    Imetulia
  5. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu

    Kwa kipaji changu cha kutabiri, nayaona yafuatayo kwako: 1.Umeshika simu yako ya mkononi. 2.Unasoma hii habari unatumia dole gumba. 3.Wewe ni binadamu hai kabisa. 4.Huna jeuri ya kusema neno PIPI bila kufungua mdomo. 5.Nakuona umejaribu kusema neno PIPI. 7.Unajicheka mwenyewe...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majibu niliyo jibiwa baada ya kupiga 112 police

    We ungefanyaje kwa majibu yao?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majibu niliyo jibiwa baada ya kupiga 112 police

    Doh usinipe msala wa mauwaji wangu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majibu niliyo jibiwa baada ya kupiga 112 police

    Wakati benki inavamiwa, nikapiga 112 nikajibiwa KARIBU JESHI LA POLISI TANZANIA KITENGO CHA DHARULA, for kiswahili press 1 for english press 2, nikabonyeza 1, sauti ikasema kwa ajali ya barabarani au moto bonyeza 1 kwa ujambazi bonyeza 2, nikabonyeza 2, sauti ikasema: kama majambazi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania majanga

    Nimeokoa maisha ya mtu leo huwezi amini........."Nimekutana na ombaomba nikamuuliza atajsikiaje nikimpa Sh. 30,000/- Akasema ATAKUFA kwa furaha......Nikaondoka bila kumpa ili ASIFE.."HUONI KAMA NIMEOKOA UHAI WAKE ?
  10. S

    JamiiForums Tanzania huyu ndio great thinker

    JAMAA ALIKUWA ANAMCHUJNGULIA HAUSGAL WAKE KUPITIA 2NDU LA FUNGUO, AMEINAMA KWA KUSHIKA MAGOTI, MARA MKEWE AKAMWONA NA KWA UKALI AKAMUULIZA UNAFANZA NINI HAPO? BWANA AKAENDA JUU NA KUSEMA SAMIALLAHU LIMAN HAMIDA! MKE AKASEMA HA, KUMBE UNASWALI! JE HUYU JAMAA NAE ATAKUWA GREAT THINKER?:A S-coffee:
  11. S

    JamiiForums Tanzania wezi

    tumeshaizowea
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nyooo

    hahahaha
  13. S

    JamiiForums Tanzania 'fesibuku iko hivi'

    hahahahahahaha yani umetisha kweli hayo mambo f.b mengi 2
  14. S

    JamiiForums Tanzania Download free JF application for Android

    leten ya nokia
  15. S

    JamiiForums Tanzania Imekula KWENU

    hahahahaha
Back
Top Bottom