Nyooo

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
Padri na sister walikuwa wanasafiri wakafika sehemu fluani ikawa ni usiku,ikawabidi waende kulala guest.

Kufika guest vyumba vimejaa kimebaki kimoja tu! wakaamua kulala pamoja ila wakajitenga kwa kutumia MTO.

Iilipofika asubuhi wanataka kutoka wakakuta gate limefungwa,padri akamwambia sister "unaonaje turuke gate?"
Sister akajibu "Nyooo ulishindwa kuruka mto... utaweza gate!!"
 
ayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimesha simamishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ninihiiiiiiiiiiiii
 
Huyo Padri ni mtoto wa mombasa huyo, aliposema kuruka geti hakuwa na maana hiyo, halafu na huyo sister ni mtoto wa kinondoni, aliposema mto alimaanisha kale kadimbwi maji kupwa maji kujaa, ambako shurti uvuke kwa kutumia mguu mmoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom