Recent content by shisho

  1. S

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya UKUTA yasipofanyika...

    Hivi yule jamaa aliesema uchaguzi akishindwa anaenda kuchunga ngombe sijui wapi huko sijui nduli alishaenda kweli?
  2. S

    JamiiForums Tanzania KAGERA: Watanzania 56 watekwa na kuuawa na askari wanaodhaniwa kuwa wa nchi jirani

    Hivi kweli una roho wewe Hujui hata wameuawa kwa sababu gani na hiyo report ya kipindi gani unaanza kushabikia mambo ya ovyo Kama unahasira sana si ujinyonge ufe badala ya mawazo yako utuvishe na sisi tunaotamani amani
  3. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    Hakuna hata siku moja moshi wamefanya maandamano katika harakati zao Wamekuwa wakitumia wananchi maskini wa mikoa mingine kufanikisha mambo yao Waandamane huko kwao tu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Taifa limegawanyika kuhusu UKUTA

    Unajifurahisha kwa maandishi Utasema nini kama ikifeli
  5. S

    JamiiForums Tanzania CHASO Dar es Salaam: Taarifa kwa umma

    Hii habari imeandaliwa na sekeretari au umoja Mtoa taarifa kamiliaha barua yako kwa jina muhuli pamoja na walioshiriki vinginevyo ni habari ya kuandaliwa na sekretari
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dola zote kubwa zilizowahi kujengwa duniani zilijengwa na watawala kama Magufuli

    Kwahiyo na ww unataka tupigane ili tupate maendeleo Kapigane na ndugu yako utajisikia raha
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Si shwari, rais Magufuli kutangaza mazito August 31 siku moja kabla ya UKUTA

    Very simple kuandika humu ukijishashadua kuwa utaandamana nenda ujipime na nguvu ya dola
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Hakimu Atupilia mbali ombi la Wanasheria wa Serikali Kuhusu Kibatala

    Huyo mtu Tindu Lisu asipodhibitiwa atajiona kama yeye anajua sheria kuliko wote Tanzania adhibitiwa na ajifunze kuongea
  9. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    Waacha kupandikiza watu chuki bila sababu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ukabila, ukanda ulivyoitesa Tanzania katika uchaguzi mkuu 2015

    Nashukuru kwa uchambuzi wako ambao umejikita kuleta nyufa kwenye taiga japo baadhi ni sahihi lakini naomba na mimi nichangie Kwanza najiukiza kila mara hii dhana ya kuwa mikoa ya Arusha na mingine kwanini inaitwa kanda ya kaskazini wakati ramani ya Tanzania inaonyesha wazi kuwa mikoa ya mwambao...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Kodi si tatizo Bandarini

    Watueleze kabla ya hapo bandari mapato yalikuwaje na sasa yakoje Kuna nchi ni landrocked na kiuchumi ziko vizuri kama kuna mgomo wa kupitishia kwetu kwa sababu ya kukwepa kodi ni heri wakaacha
  12. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Kodi si tatizo Bandarini

    Kwa maana hiyo bandari yetu ilifanywa Shamba la bibi?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anavyomuelezea Marehemu Jumbe

    Haya yanatakiwa kujadiliwa vyumbani nadhani si yote mazuri kwa walaji Issue za kijasusi zijadiliwe na wenyewe Nawasilisha
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Fyatueni watoto wa kutosha, nitawasomesha bureee!!

    Msikilize vizuri utamwelewa Kasisitiza mara tatu hivi nyie watani zangu zaeni nitawasomesha. He was making jokes to his joke counterpart but you are taking as a stand. Think why did he say at mwanza or Geita Make analysis before reaching to conclusion that is why you have big brain than...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dr. Mpango asijiuzulu au kutimuliwa?

    Ulitaka nani alipe kodi. Popote pale maendeleo huletwa kwa wananchi wake kulipa kodi Tulips kodi ili Barbara nzuri zijengwe Huduma za jamii ziboreshwe hata kama lingechaguliwa jiwe ilimradi lingetengeneza serikali lazima kodi ingelipwa tu Unaowasema wanyonge wala hawana bank hata hizo pesa...
Back
Top Bottom