Recent content by shining

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hiki kifaa kinaitwaje na kinauzwa bei gani?

    Kwi kwi teh ha ha, raha sana.
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikikutana na mzazi wa mke wangu wangu nanyong'onyea

    Mh! Kweli hapa kuna mtaalamu wa limbwata.
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

    Kila mtu anataka kuoa wife material cku hizi, sasa hiyo ishu ya kuwagroup wengine kama sio wife material inamaana wao wameumbwa wasiolewe?
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempata Asiyebadilika...

    Hapa pamenibariki zaidi
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JF PARTY 2014 January 25 Ndani ya Kebbys!!!!!!! Nani Ana P.O.BOX MMU! UMELIPAAAAAAAAAAAA?

    Kwa anae jiskia kunilipia, buuureee.. naomba kulipiwa mie, ila lisiwe deni plz.
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hadithi ya kusisimua- Mimba ya Jini

    Hadithi mantashau hii MziziMkavu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Suzuki Swift for sell tzs 7500000 only.

    Fadhili Paulo; Usikimbie, kuwa na amani tu kesho utakuja vema. Kuweka hizo details is not an issue, kwa sasa haina mashiko kwakua aliyekua anasuasua kwenye mapatano amekubali chombo kwa bei tuliyopatana.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Suzuki Swift for sell tzs 7500000 only.

    Nimepigiwa cm sasa hiv,, mteja amepatikana.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Suzuki Swift for sell tzs 7500000 only.

    Kwa anae hitaji pm, gari ipo ktk hali nzuri.
  10. S

    JamiiForums Tanzania nina laki moja na nusu (150000)naitaji cm yeyote ya adroid

    Kama bado hujapata, kuna samsung galax duos young kwa bei hiyo.
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Females only

    Jifarague hapo, yan jielezee kila kitu, faster nataka kukutext.
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuhesabu pesa ulizopewa na mpenzi wako mbele yake.

    Utovu wa nidhamu unakuja vp! Mtu unamuheshimu sana nayeye anajua, yani kitendo cha kuhesabu pesa mbele yake ndo uwe mtovu wa nidhamu? Kwanini ujiskie vibaya? Kwan si nataka tu kujua ni kiasi gani, sababu hasa ya kujiskia vibaya ni ipi?
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuhesabu pesa ulizopewa na mpenzi wako mbele yake.

    Sagemba Tena nafanya macalculation mbele yako, uso mkavuu!
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuhesabu pesa ulizopewa na mpenzi wako mbele yake.

    Smile; Unadhani atakuwekea magazeti au? Huna haya? Sio fresh Haya kivipi? Si bora uhesabu hapo kama kuna mapungufu uongee kuliko kunung'unika mbele ya safari?
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuhesabu pesa ulizopewa na mpenzi wako mbele yake.

    Habari zenu wanajamvi, Naombeni mnijuze kwa mitizamo yenu, kuna tatizo gani mpenzi wako akikupa pesa nawe ukaihesabu hapohapo kujua ni kiasi gani, nimekua nikiona wengi sana sana wadada yaani akipewa tu yeye anaihifadhi halafu anaenda kuhesabia mbele baada ya kuachana na aliyempa. Kwani kuna...
Back
Top Bottom