Kabla ya safari kaa nae mweleze kwa upole kabisa kama umegundua huo mchezo na akibisha muoneshe sms kama ushahidi, hii itakuwa ni sababu ya kuacha alichokuwa anafikiria kufanya kama ana khofu na mungu na anaipenda ndoa yake.
Ni sawa kabisa, kama ilivyo na upande wa pili (wanaume) unaweza ukampenda mwanaume mapenzi ya dhati lkn akazingua sababu hajavuliwa nguo wanaume walio wengi wanadhani kuvuliwa nguo ndio kupendwa sivyo kabisa.
Zinaaa ni deni lazima ulipe kwa vyovyote vile, umezin na wake za watu na mabint za watu jua na ww utalipa hlo deni iwe kwa mkeo au bintiyo lazima kwenye kizazi chako watu wakuziniye.
Kama huwezi kumueleza tumia busara za wazee wao watamfikishia ujumbe bila shida na udugu wenu ukaendelea, ukichelea kusema subiri kufumwa hapo ndio utajua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.